Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
ukipata unipe zile za yule white[emoji23][emoji23]..ana dental formula ninayoikubali
Mhhhh unafiki.Na bado watakimbia Sana huko, jamaa alikua hot sana ila wasafi wamefanya akaflop..
Ipo hivi..
Mtangazaji kwenda kujiunga na Clouds ama Efm - Ni sawa na timu ndogo kwenda ligi kuu.. Yani timu iliyokuwa inashiriki daraja la kwanza, sasa inaenda kucheza igi kuu na magiant wenzake..
Lakini Mtangazaji kutoka Efm ama Clouds kwenda Wasafi Fm/tv - Hapo ni sawa na mchezaji toka ligi kuu kwenda kusajiliwa timu ya ligi daraja la kwanza
Kumbuka, kuna vitimu vya daraja la kwanza nk vinauwezo kiuchumi kuliko hata hao wanaochezea ligu kuu
Kwa hiyo huyo jamaa amepanda daraja..
Maoni yangu