Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
Naona Mkurugenzi wa ETV na EFM, Majizo anamtangaza Jonijoo kama mtangazaji wao mpya wa vipindi na hii ni baada ya kuhama WASAFI
===
Aliyekuwa mtangazaji wa kipindi cha Block 89 na Bartender cha Wasafi TV na Wasafi FM JONIJO ameacha rasmi leo kufanya kazi na kampuni hiyo na kuhamia EFM na TV E inayomilikiwa na MAJIZZO .
Sent using Jamii Forums mobile app