Mtangazaji Jonijoo atoka Wasafi FM/TV na kuhamia ETV/EFM

Nimeamini haya kweli ni maoni yako ila sijayapenda alafu una-element ya U-clouds fm
 
Jonijoo alikitaka kipindi cha Switch. Bora kajiongeza. Kuliko kubaki WCB na kuwa second best.
Inasemekana baada ya kuja lil ommy kipindi cha block 89 kilitakiwa kiwe kinafanyika siku ya jumamosi hivyo jonijo hakukubaliana nalo ikapelekea kusimamishwa kazi pamoja na wenzake expt Aliyah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya sio maoni ila hipo hivyo


Joniijo kwenda e-fm kaenda kupotea trust me kwa wapenzi wa tasnia hii ya Music na habari wanaelewa nasema nini

Now wasafii wamechukua kila kitu mfano mzuri yule jamaa lil ommy na wengine kibao


You welcome
 
Kaflop, ukweli ni kwamba watu wengi walikua wanamfatilia kwenye Youtube chanel yake kuliko redioni
siyo kweli mzee Kama utakuwa mfatiliaji mzuri wale wazamini wake wote wapo wasafii

So, makampuni yanajua jamaa yupo vizuri kwenye fans kwenye online tv Hadi air time radio

Enough
 
Kuna watangazaji Tanzania hii hawahitaji ukubwa wa channel kufuatiliwa, popote wakiwepo wanahama na kijiji chao, wafuatao ni baadhi ya watangazaji hao:
1. Salama Jabir
2. Captain G Habash
3. Maulidi Kitenge
4. Jonijo Babako
5. Millard Ayo
Ukiwa ndio boss wa hawa watangazaji, wachukulie kama maboss wenzako, sio wafanyakazi wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…