Mtangazaji Jonijoo atoka Wasafi FM/TV na kuhamia ETV/EFM

Inasemekana baada ya kuja lil ommy kipindi cha block 89 kilitakiwa kiwe kinafanyika siku ya jumamosi hivyo jonijo hakukubaliana nalo ikapelekea kusimamishwa kazi pamoja na wenzake expt Aliyah

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo except Aaliyah, mbona namsikia calypso kwenye zile MCM na WCW
 
Anzisha uzi wa kings
 
Labda ww ndo umemjua kupitia wasafi..mabos wako wenyewe walimjua kabla ndo maana wakamsaini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jonijoo amekuwa branded na Wasafi na si Radio yoyote wala Youtube.

Umma wa watanzania walio wengi wamemjulia wasafi, anajadiliwa kwa sababu alikuwa wasafi vinginevyo hakuna ambaye angemjadili.
Binafsi nimemjua Jonijoo muda sana na mdogo wangu ameshafanya interview nae (ni mwanamuziki) ila kumjua kwangu kitambo hakuleti maana watanzania wengi walikuwa wanamfahamu tayari.

Mtu wa Kigoma, Mwanza, Tabora, Shinyanga, Mara, Katavi, Kagera, Singida, Dodoma, Moro town, Iringa, na hata Morogoro angemjuaje John na hasikilizi Radio?
 
kama ulikuwa humjui uko YouTube basi wewe ni bendera
Not everyone watches YouTube wewe kiswaswadu.
Ana subscribers 300K tu umaarufu alioupata wasafi ni mara million 10 kuliko aliokuwa nao.

Nionyeshe uzi mkimjadili kabla hajaenda Wasafi haupo kacheze rede
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…