Mtangazaji kumsifia mchezaji muda wote ni sahihi?

Nilifahamu tu......jaman ushabiki upo damuni muache na yeye ashuhudie uwepo wa messi kumbuka ndiyo mwisho wake huu
 
Messi ata akibanja ni news ujui?😀😀😀
 
Wale wapenzi wa yule aliekosa namba ile timu ya mashetani utawajua tu
 
Kwanza utangazaji wake ni kama yupo redioni na si Tv, anaongea sana wakati sisi watazamaji wa TV tunashudia mojakwamoja matukio.
Uyu jamaa wampeleke redioni na yule aliye tangaza mechi ya Cameroon vs Brazil amalizie mashindano.
 
Hata mi nilimshangaa
Aliongea mambo mengi sana

Mara ndo pekee kuwahi tokea
Mara hatatokea mtu kama yeye
Mara libarikiwe tumbo lilomzaa
 
Kweli jamaa alizidi na kibaya zaidi anaponda wach
 
Kweli alizidi huyo mtangazaji na kibaya zaidi anawaponda wachezaji wa timu pinzani kuwa Wana uwezo mdogo. Inabidi ajitathmini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…