Mtangazaji Maryam Rachuo wa Coco FM: Kama uko na mke mmoja, ongeza wa pili ili udumu na huyo mwanamke uliye naye

Mtangazaji Maryam Rachuo wa Coco FM: Kama uko na mke mmoja, ongeza wa pili ili udumu na huyo mwanamke uliye naye

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,685
Reaction score
128,178
''Ukiwa nae huyo huyo tu Mmoja ndani ya Siku 91 ukiwa nae utaanza Kumchoka na kumuona wa kawaida ila ukiwa na mwingine wa Pili utakuwa na muda wa Kujigawa katika kuwa nao Kimapenzi na hii itakufanya Usiwachoke bali sasa uwe unatamani kupata Vitu vipya kutoka Kwako kwao ni lazima tu wakishajijua wako Wawili na Wao pia wataongeza Ubunifu kitu ambacho kitakufanya uwe na Furaha nao Kitandani na Kutulia" amesema Mtangazaji wa Coco FM Maryam Rachuo.

Dada Maryam Rachuo wengine hatuna tu hao sijui Wanawake Wawili, ila mpaka sasa tuna wenye Kujaza hata Mabehewa Matatu ya SGR na ndiyo maana hatuna Stress kabisa Kimaisha, Wanawake hawatutishi na Miili yetu iko Imara. Ni Mwanaume Mpumbavu tu ndiyo atakuwa na Mke Mmoja au Wawili ila Wanaume tunaojitambua lazima tuwe nao Wengi ili Akili zetu zitulie na tuweze Kujenga nchi vizuri.
 
Kwasiku unaposti mada ngapi.
Najua utatukana maana dishi linayumba mara kwa mara
 
Back
Top Bottom