GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kitenge nina uhakika pamoja na kwenda Kwako Ulaya / Marekani / Asia kila mara tukikuweka Wewe na Kocha wa Simba SC Mbrazil Roberto Olivieira bado atakuzidi na humuwezi hivyo tunakushangaa Kumkejeli Kocha Olivieira hewani kama ufanyavyo sasa.
Hakuna asiyejua kuwa Wabrazil Lugha yao Mama ni Kireno na tena tunampongeza kwa Kujitahidi Kuongea Kiingereza chake hafifu ila tunashangaa kuona Kocha Mkuu wa Yanga SC (Timu yako) anaogopa kabisa hata Kuthubutu Kukiongea hiko Kiingereza chenyewe na badala yake anang'ang'ania tu Kubwabwaja kutwa na Kifaransa chake ambacho hata Mimi GENTAMYCINE nakijua kidogo ila sikishobokei bali nabakia na Kiswahili changu, Kiingereza, Kizanaki, Kimakuwa na Kitutsi.
Kutwa uko Ulaya ila Kiingereza hukijui.