Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umejuaje kama ni tabia za kike kama wewe hufanyi? Wewe umemjadili nani hapa mbona kama unawashwa hivi au kwa vile ni utopolo mwenzako?Tabia za kike kabisa hizi , mna kaa kujadili watu
Mweledi kwenye mambo mengi kama yapi ?Nyie ndo wale watu wanaoabudu makaratasi bila kuangalia uwezo binafsi wa mtu. Kitenge amebarikiwa na ni mweledi katika mambo mengi ndo sababu anabebeka. Wewe endelea na makaratasi yako, mwenzio anasonga mbele.[emoji3526][emoji3526]
Ni Afrika tu ndio watu wanaona kujua kiingereza ni kuwa na akili, kwamba mtu anayejua kuongea kwa ufasaha basi ana akili. Huyo Kitenge kumbe bado hajastaarabika!
acha kumsema nabi,wewe mlalamikie huyo kitenge,nabi kakukosea nini?Kitenge nina uhakika pamoja na kwenda Kwako Ulaya / Marekani / Asia kila mara tukikuweka Wewe na Kocha wa Simba SC Mbrazil Roberto Olivieira bado atakuzidi na humuwezi hivyo tunakushangaa Kumkejeli Kocha Olivieira hewani kama ufanyavyo sasa.
Hakuna asiyejua kuwa Wabrazil Lugha yao Mama ni Kireno na tena tunampongeza kwa Kujitahidi Kuongea Kiingereza chake hafifu ila tunashangaa kuona Kocha Mkuu wa Yanga SC ( Timu yako ) anaogopa kabisa hata Kuthubutu Kukiongea hiko Kiingereza chenyewe na badala yake anang'ang'ania tu Kubwabwaja kutwa na Kifaransa chake ambacho hata Mimi GENTAMYCINE nakijua kidogo ila sikishobokei bali nabakia na Kiswahili changu, Kiingereza, Kizanaki, Kimakuwa na Kitutsi.
Kutwa uko Ulaya ila Kiingereza hukijui.
Kama hayo uyasemayo ni kweli usishangae kwa anayoyafanya kwa sababu ni bongolalaKitenge nimesoma naye Al Haramain, aliscrore division 0, bahati nzuri nikakutana naye tena The Guardian Ltd wote tukiandikia gazeti moja la jioni likiitwa Alasiri, yeye akiandika michezo na mimi nikiandika habari za mahakamani, Kitenge akabebwa na Aboubakary Liongo akipeleka habari za michezo kipindi cha sport radio one, akabebwa na Abdallah Majura hivyo hivyo, akabebwa na mwana yanga mwenzake pale The Guardian Ltd, Angetile Osiah.
Kitenge hana uwezo wowote zaidi ya bla bla tu ndio maana hata serikali imeshindwa kumpa maisha kwa sababu hana vyeti.Ukimuuliza anasema amesoma Zambia.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Unajuaje hana kitu kweye hii anonymity? Hivi mbona huwa mnakua na akili za kijinga hivi? Yaani unaamini maisha yako magumu ni kwa kila mtu[emoji28].Maisha haya [emoji23][emoji23]sasa wewe ulie faulu una nini?
Yaani kama hajui kiingereza, ni hakijui tu, hata kama anayemcheka naye hakijui..!!Kitenge nina uhakika pamoja na kwenda Kwako Ulaya / Marekani / Asia kila mara tukikuweka Wewe na Kocha wa Simba SC Mbrazil Roberto Olivieira bado atakuzidi na humuwezi hivyo tunakushangaa Kumkejeli Kocha Olivieira hewani kama ufanyavyo sasa.
Hakuna asiyejua kuwa Wabrazil Lugha yao Mama ni Kireno na tena tunampongeza kwa Kujitahidi Kuongea Kiingereza chake hafifu ila tunashangaa kuona Kocha Mkuu wa Yanga SC ( Timu yako ) anaogopa kabisa hata Kuthubutu Kukiongea hiko Kiingereza chenyewe na badala yake anang'ang'ania tu Kubwabwaja kutwa na Kifaransa chake ambacho hata Mimi GENTAMYCINE nakijua kidogo ila sikishobokei bali nabakia na Kiswahili changu, Kiingereza, Kizanaki, Kimakuwa na Kitutsi.
Kutwa uko Ulaya ila Kiingereza hukijui.
Tukiachana na habari za makaratasi, Kitenge anauwezo gani?Nyie ndo wale watu wanaoabudu makaratasi bila kuangalia uwezo binafsi wa mtu. Kitenge amebarikiwa na ni mweledi katika mambo mengi ndo sababu anabebeka. Wewe endelea na makaratasi yako, mwenzio anasonga mbele.[emoji3526][emoji3526]
Uwezo wake unapimwa na kazi anazozifanya. Kazi zote alizofanya kwenye taaluma yake ya uandishi wa habari na utangazaji ameifanya kwa weledi mkubwa hadi ameweza kuwavutia wasikilizaji na watazamaji wake ndani na nje ya nchi. Na kwa kuthibitisha hilo ni namna ambavyo amekuwa akipewa kazi mbalimbali nje ya ofisi yake na zote amezifanya kwa weledi mkubwa. Kijamii Maulid amekuwa kioo kwa kuishi vyema na wadau mbalimbali na hata kidini amekuwa muumini mzuri wa dini yake. Mengine utaongeza.Tukiachana na habari za makaratasi, Kitenge anauwezo gani?
Naomba tujadili vizuri tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siyo akuletee bank account yake ili ufananishe ya kwako na mkitoka hapo mkalinganishe majumbani kwenu mnavyoishi na maeneo gani?
Hivi huyu kijora anapeleka biashara gani huko ughaibuni?Kitenge nina uhakika pamoja na kwenda Kwako Ulaya / Marekani / Asia kila mara tukikuweka Wewe na Kocha wa Simba SC Mbrazil Roberto Olivieira bado atakuzidi na humuwezi hivyo tunakushangaa Kumkejeli Kocha Olivieira hewani kama ufanyavyo sasa.
Hakuna asiyejua kuwa Wabrazil Lugha yao Mama ni Kireno na tena tunampongeza kwa Kujitahidi Kuongea Kiingereza chake hafifu ila tunashangaa kuona Kocha Mkuu wa Yanga SC ( Timu yako ) anaogopa kabisa hata Kuthubutu Kukiongea hiko Kiingereza chenyewe na badala yake anang'ang'ania tu Kubwabwaja kutwa na Kifaransa chake ambacho hata Mimi GENTAMYCINE nakijua kidogo ila sikishobokei bali nabakia na Kiswahili changu, Kiingereza, Kizanaki, Kimakuwa na Kitutsi.
Kutwa uko Ulaya ila Kiingereza hukijui.
Anao ila watu wanammegea sana wake zakeMbona nasikia jamaa hana mke,?
Ni Afrika tu ndio watu wanaona kujua kiingereza ni kuwa na akili, kwamba mtu anayejua kuongea kwa ufasaha basi ana akili. Huyo Kitenge kumbe bado hajastaarabika!
Kazi yake kuwaponda wasomi... Mara ukitoa elimu ya darasani unabaki na nini... Mimi nikamwambia unabaki na. Ujinga. So insecure na wasomiKitenge nimesoma naye Al Haramain, aliscrore division 0, bahati nzuri nikakutana naye tena The Guardian Ltd wote tukiandikia gazeti moja la jioni likiitwa Alasiri, yeye akiandika michezo na mimi nikiandika habari za mahakamani, Kitenge akabebwa na Aboubakary Liongo akipeleka habari za michezo kipindi cha sport radio one, akabebwa na Abdallah Majura hivyo hivyo, akabebwa na mwana yanga mwenzake pale The Guardian Ltd, Angetile Osiah.
Kitenge hana uwezo wowote zaidi ya bla bla tu ndio maana hata serikali imeshindwa kumpa maisha kwa sababu hana vyeti.Ukimuuliza anasema amesoma Zambia.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Umeuliza kana kwamba jamaa ana life ngumu kitaa....Maisha haya [emoji23][emoji23]sasa wewe ulie faulu una nini?