Mwelezeni kitenge aje hapa nimfundishe maana ya language diversity katika dunia, ndio maana kuna kifaransa, kijermani, kireno, kihispania, kiingereza, kichina, kihindi, hizo ni lugha ambazo ni key languages kwa sasa duniani, kihindi na kichina ni lugha mbili zenye wazungumzaji karibu 2.9 bilion duniani kote na waliobaki hugawana lugha zilizobaki, sasa kuna watu wanaomudu kuzungumza lugha zaidi ya moja kwa ufasaha mfano mchezaji mbape huongea kifaransa, kihispania na kiingereza kwa ufasaha, C Ronaldo wakati anajiunga man UTD alifahamu kireno pekee lakini kwa sasa anaongea kiingereza, kispanish, kireno na kiitaliano na sio kosa kwa mzungumzaji kutofahamu lugha fulani na sio suala la kucheka