GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #61
Kaachana na Mke wake Mama wa Mwanae ( Bintiye ) Shadya na sasa anaishi na Bintiye ( Mwanae ) huyo pekee Kwake Masaki mitaa ya Slipway.Mbona nasikia jamaa hana mke,?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaachana na Mke wake Mama wa Mwanae ( Bintiye ) Shadya na sasa anaishi na Bintiye ( Mwanae ) huyo pekee Kwake Masaki mitaa ya Slipway.Mbona nasikia jamaa hana mke,?
Kama waliokuleta Duniani. Naona tokea nikushinde katika Shindano la Mwanachama Bora Jukwaa la Michezo ( Sports ) hapa JamiiForums ukijidanganya kuwa Ungeshinda Wewe kwa Kigezo kuwa Nachukiwa umekuwa na Hasira mno na Mimi GENTAMYCINE.Tabia hizi mara nyingi hufanywa ana watu wenye matatizo ya akili
“Dubai good here good, new philosophy this”
Ana watoto wengine wawili nafikiri..Kaachana na Mke wake Mama wa Mwanae ( Bintiye ) Shadya na sasa anaishi na Bintiye ( Mwanae ) huyo pekee Kwake Masaki mitaa ya Slipway.
Kwakuwa tu wanaisema na kusema Ukweli kuhusu Yanga SC yako? Acha / Acheni Unafiki hawana baya lolote lile na wenye Akili tunawakubali mno.Jemedari na Oruma ndio empty kabisa,hata kwenye mic
Mkuu, kwani si amemuelezea mtu anayecheka Wareno kutokujua Kiingereza?Maisha haya [emoji23][emoji23]sasa wewe ulie faulu una nini?
Hoja ya Kikolo hii!!Kwakuwa tu wanaisema na kusema Ukweli kuhusu Yanga SC yako? Acha / Acheni Unafiki hawana baya lolote lile na wenye Akili tunawakubali mno.
Je, wangekuwa wanaisema Yanga SC yako kwa mazuri kama utakavyo / mnavyotaka Ungewachukia hivi?
Na usichokijua / msichokijua ni Wawili wote hawa Jemedari Said na Wilson Oruma si tu ni Mashabiki wa Yanga SC bali pia ni Wanachama kabisa wa Yanga SC ila tu ni Watu Wasema Ukweli na Wasiotaka Unafiki kama nilivyo Mimi GENTAMYCINE.
Kwa Tanzania ya sasa ukiwa Muwazi, Msema Kweli / Ukweli, siyo Mnafiki na hupendi Kujipendekeza kwa Mtu / Watu ni lazima tu Utachukiwa na Waswahili na Wapuuzi.
Badilikeni.