Rafiki yako majizo kapost hivi piaSsebo amefariki baada ya kuugua ghafla. Taarifa zaidi zitawajia kuhusu msiba huu.🥺😭
Rafiki yako majizo kapost hivi pia
View: https://www.instagram.com/p/DVuTWcbj26z/?igsh=YXMwMWdpZmNleWF2
Ni fumbo.Kifo😢
Mimi ndio nilimuona huko, na sijawahi muona tena baada ya hapo, alikuwa anaongea balaa, nilisikia kuwa ni raia wa Uganda.Nilianza kumfahamu marehemu tangu anafanya vipindi enzi za Channel 5 (EATV) miaka ya 2000 kabla hajaenda huko ETV&EFM
Yeye ndiyo alichangia kutengeneza kipindi cha Friday night live (FNL) kabla hajawaachia akina Sam Missago na baadaye Dullah Planet 🙌
Poleni wote mlioguswa na msiba wake
Mwenyezi Mungu aipokee roho ya marehemu na ampe pumziko la milele 🙏🙏
Ni MgandaKwa kiswahili chake namna ya uongeaji atakuwa s raia wa Tanzania