ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Duh ila hiv yupo sana mtaani..watu wanameza dawa taratibuInnaLILLAHI...
Kuna kipindi alikuwa anatembea na mama moja lipo pale kwa OMR alishaunguaga yule dada nilijua jamaa hatotoka salama maana wengi waliopita pale waliondoka
Juma baragaza atakuwa alistaafu yule...Dah! Akapumzike kwa Aman muhsin vip jumaa Ahmed baragash yuko wapi siku hizi
Daaah!InnaLILLAHI...
Kuna kipindi alikuwa anatembea na mama moja lipo pale kwa OMR alishaunguaga yule dada nilijua jamaa hatotoka salama maana wengi waliopita pale waliondoka
na mimi nasubiri jibuNi kifo cha ghafla au ni pneumonia?
Ohoooo!!!InnaLILLAHI...
Kuna kipindi alikuwa anatembea na mama moja lipo pale kwa OMR alishaunguaga yule dada nilijua jamaa hatotoka salama maana wengi waliopita pale waliondoka
InnaLILLAHI...