TANZIA Mtangazaji Mukhsin Mambo alias MC Hammer afariki dunia nyumbani kwake Marekani

Huyu mama alishawaondoa vijana kadhaa wa pale Makumbusho kwa kuwaunganisha na grid ya taifa
Bro please picha ya huyo mama please bro ama jina tu ni mgoogle. Kama amefungasha mzigo na bado analipa niko radhi kuunganishwa kwenye gridi ya taifa. Kwani hata usipokufa na ngoma bado tu utakufa tu hutaishi milele.

Please iyo picha mkuu. Natanguliza Shukrani zangu za dhati kabisa.

mrangi King Kong III
 
Picha ya nini? Unajua maana ya privacy? Kutumia majina bandia isiwe chanzo cha kufanya vitu vinavyowaumiza wengine. Hivi utajisikiaje mtu akurupuke na kuweka picha yako hapa na kutoa sifa mbaya juu yako?
 
Mkuu sasa ndio nini tena. Mbona unaniaribia.
 
Hapana hapana mkuu. Hapa ni sehemu ya wastaarabu. Tukifanya namna hiyo tunaumiza wengine. Kuna wenye roho laini wanaweza hata kujidhuru. Tujadili, tubishane, tuhitilafiane , tufurahi lakini tusiwe chanzo cha maangamizi ya wengine. Usipende kutendea wenzako usilotaka kutendewa wewe.
 
Huo ujumbe wake umewasaidia wengine kuchunga mienendo yao.

Unasikia mtu anasema ngoma cha mtoto,hatari ni kisukari,Kansa kumbe ni kuwa sio hatari ikiwa mwingine
 
Back
Top Bottom