TANZIA Mtangazaji Mukhsin Mambo alias MC Hammer afariki dunia nyumbani kwake Marekani

TANZIA Mtangazaji Mukhsin Mambo alias MC Hammer afariki dunia nyumbani kwake Marekani

Bro please picha ya huyo mama please bro ama jina tu ni mgoogle. Kama amefungasha mzigo na bado analipa niko radhi kuunganishwa kwenye gridi ya taifa. Kwani hata usipokufa na ngoma bado tu utakufa tu hutaishi milele.

Please iyo picha mkuu. Natanguliza Shukrani zangu za dhati kabisa.

mrangi King Kong III
Mkuu unataka kujilipua? Unaambiwa kwasasa yupo Dodoma! Kashakula Nyoka kibao wa Makumbusho!!
 
Kipindi alichokuwa anaendesha Zuberi Msabaha kwasasa anakiendesha Bernard James.
Mwendashaji wa kipindi hiki kwa sasa ni charles machugu, Ben huwa anacover tu gap jamaa asipokuwepo. Ila kwa kweli, hakuna aliyeweza kuvaa viatu vya msabaha. Walau ben yuko unique hana mambo ya kuiga swagga za ukongo.
 
Yes ni kweli Charles Machugu ndio anakiendesha na mara nyingi nagumiana na Bernard James.

Y'all feel me even if it's in Swahili...Habari Gani, Mzuri Sana.
 
Bro please picha ya huyo mama please bro ama jina tu ni mgoogle. Kama amefungasha mzigo na bado analipa niko radhi kuunganishwa kwenye gridi ya taifa. Kwani hata usipokufa na ngoma bado tu utakufa tu hutaishi milele.

Please iyo picha mkuu. Natanguliza Shukrani zangu za dhati kabisa.

mrangi King Kong III
Aisee! tamaa mbele mauti nyuma kijana......
starehe zipo nyingi kula beer....
 
Duh, Apumzike Kwa Amani...mara ya mwisho nilimuona akiwa TV 1.
 
RIP Muhsin Mambo. Hivi alikwenda wapi baada ya Star TV? Tulicheza naye mziki sana Rumors Mwanza. Enzi zetu za ujana . Kabla ya Rumors kuvunjwa na kuacha mashimo
 
Nakumbukaga sauti yake akihadithi tamthilia za kifilipino .

Jamaa alikuwa poa sana.

Nikaja muonaga TV1 sijui akapotelea wapi

RiP muhsin mambo

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kabla sijafungua uzi title imenichanganya.
MC Hammer yupi tena. Mi namjua aliyeimbwa kwenye wimbo wa Young Thug wa Safe kwamba alifirisika. Au ndio zile wabongo kuwa na majina ya mastaa wa mbele
 
InnaLILLAHI...
Kuna kipindi alikuwa anatembea na mama moja lipo pale kwa OMR alishaunguaga yule dada nilijua jamaa hatotoka salama maana wengi waliopita pale waliondoka
Ni vizuri ukamheshimu marehemu, huu sio muda wa kutoa taarifa mbovu ambazo ni tetesi
 
Back
Top Bottom