TANZIA Mtangazaji nguli, Baba T wa East Africa Radio afariki dunia

TANZIA Mtangazaji nguli, Baba T wa East Africa Radio afariki dunia

R.I.P Baba T, moja wa manguli walionifanya nipende Lovers Rock.
Salaam!
Kwa kumbukumbu yako unawezafahamu ile intrumental Baba T aliyokuwa annanzia kipindi hadi umauti unamchukua?
Jina la music (instrumental ile) na Muimbaji,Mdau mmoja aliniambia ilikuwa instrumental ya "Gregory Isack" lakini nimesikiliza pini zote za G I sijapata kuisikia.Msaada tafadhari.Hata ukinitext kwa 0656 60 66 27 Tashukuru.
 
Back
Top Bottom