DOKEZO Mtangazaji Oscar Oscar anatumia mitandao kufunza, kueneza na kuchochea itikadi za uzinzi. Mamlaka husika mchukulieni hatua

DOKEZO Mtangazaji Oscar Oscar anatumia mitandao kufunza, kueneza na kuchochea itikadi za uzinzi. Mamlaka husika mchukulieni hatua

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Ni hivi leo tu Basata imempiga Faini ya Milioni 5 msanii Whozu kwa kuimba wimbo usio na Maadili lakini tunashangaa huyu Mtangazaji hajawahi kupewa hata Onyo.

Oscar Oscar amekuwa gumzo mitandaoni, Haoni haya wala aibu kusambaza maudhui ya ngono, kwa sasa anafahamika kama waziri wa ngono.

Inafikirisha Sana kuona mtu mwenye age 40+ mwenye familia anafanya haya hadharani.

Wanaosema suluhu ni kumu unfollow fikirieni nje ya box, wewe unaweza ukawa mtu uliestaarabika ukachukua uamuzi huo lakini umeifikiria jamii kwa ujumla hasa kwa vijana wetu wadogo?
















UPDATE
- LHRC yamuonya Oscar Oscar kwa Vitendo vya Udhalilishaji dhidi Wanawake
 
Back
Top Bottom