Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseee?!Nitawahoji Sasa.......
Ila Tayari Limefika Kunakostahiri Atapata Stahiri Yake
Yaani haya ni mawazo ya mtu wa zaidi ya miaka 40 kweli? Basi Tanzania tuna watangazaji wapuuzi sanaNi hivi leo tu Basata imempiga Faini ya Milioni 5 msanii Whozu kwa kuimba wimbo usio na Maadili lakini tunashangaa huyu Mtangazaji hajawahi kupewa hata Onyo.
Oscar Oscar amekuwa gumzo mitandaoni, Haoni haya wala aibu kusambaza maudhui ya ngono, kwa sasa anafahamika kama waziri wa ngono.
Inafikirisha Sana kuona mtu mwenye age 40+ mwenye familia anafanya haya hadharani.
Wanaosema suluhu ni kumu unfollow fikirieni nje ya box, wewe unaweza ukawa mtu uliestaarabika ukachukua uamuzi huo lakini umeifikiria jamii kwa ujumla hasa kwa vijana wetu wadogo?
UPDATE
- LHRC yamuonya Oscar Oscar kwa Vitendo vya Udhalilishaji dhidi Wanawake
Maana ni mpuuzi au, sijakuelewa.Wewe ndo akili zako mbovu sisi wenzio naiyo serikali yako tushamchukulia Oscar Oscar kama mwijaku tu.