DOKEZO Mtangazaji Oscar Oscar anatumia mitandao kufunza, kueneza na kuchochea itikadi za uzinzi. Mamlaka husika mchukulieni hatua

DOKEZO Mtangazaji Oscar Oscar anatumia mitandao kufunza, kueneza na kuchochea itikadi za uzinzi. Mamlaka husika mchukulieni hatua

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mstari kati ya maadili mazuri na mabaya haupo tena...

Ndo dunia ya sasaivi, haya kuna hawa wasanii wa bongo fleva mnaolalamika wanaimba matusi, filamu za kwenye televisheni....

dunia ya sasa ina uhuru sana, mambo mengine hayakwepeki!!
 
halafu walipokata jina lake baada yakuchukua form yakugombea urais wa TFF akawa analaumu hovyo...sasa kwa akili yake hii angewezaje kuongoza mpira wa tanzania?
 
Back
Top Bottom