DOKEZO Mtangazaji Oscar Oscar anatumia mitandao kufunza, kueneza na kuchochea itikadi za uzinzi. Mamlaka husika mchukulieni hatua

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Inafikirisha Sana kwanini anakuwa hivyo mtu mwenye age 40+ anabidi kuwa na hekima na MAARIFA

Sema ndo hivyo unaweza unfollow page zake
Au ndio hawa wazee wa hovyo ambao walikuwa vijana wa hovyo ,

Anafanya vitendo vya kushawishi ngono zembe ,ila yeye anafanya kuchukulia kama utani
 
Tanzania kuna vituko sana, mimi sio mpenzi wa miziki ya taarabu na mahadhi yake. Itakuwa ni swala la kushangaza kama ntafata kurasa zenye maudhui hayo hayo ya taarabu halafu nije tena kulalamika kwamba waimba taarabu wana maudhui ya matusi.

Same applies kwa mtu anayemlalamikia Oscar Oscar. Kama hupendi post zake unamfollow ili iwaje. Wacha kumfatilia uone kama utaziona post zake.
 
Ni hivi leo tu Basata imempiga Faini ya Milioni 5 msanii Whozu kwa kuimba wimbo usio na Maadili lakini tunashangaa huyu Mtangazaji hajawahi kupewa hata Onyo.

Oscar Oscar amekuwa gumzo mitandaoni, Haoni haya wala aibu kusambaza maudhui ya ngono, kwa sasa anafahamika kama waziri wa ngono.

Inafikirisha Sana kuona mtu mwenye age 40+ mwenye familia anafanya haya hadharani.

Wanaosema suluhu ni kumu unfollow fikirieni nje ya box, wewe unaweza ukawa mtu uliestaarabika ukachukua uamuzi huo lakini umeifikiria jamii kwa ujumla hasa kwa vijana wetu wadogo?

Nahamu ya kula kitumbua kikubwa
 
Usituharibie, sio wote hatupendi huo ujumbe. Wengine tunatumia muda mwingi kufikiria kipochi manyoya,
Elewa neno kipochi manyoya
 
Ni hivi leo tu Basata imempiga Faini ya Milioni 5 msanii Whozu kwa kuimba wimbo usio na Maadili lakini tunashangaa huyu Mtangazaji hajawahi kupewa hata Onyo.

Oscar Oscar amekuwa gumzo mitandaoni, Haoni haya wala aibu kusambaza maudhui ya ngono, kwa sasa anafahamika kama waziri wa ngono.

Inafikirisha Sana kuona mtu mwenye age 40+ mwenye familia anafanya haya hadharani.

Wanaosema suluhu ni kumu unfollow fikirieni nje ya box, wewe unaweza ukawa mtu uliestaarabika ukachukua uamuzi huo lakini umeifikiria jamii kwa ujumla hasa kwa vijana wetu wadogo?

Huyo ni kubwa jinga
 
Hawa ni wana habar wachache wasio kuwa na maadili,sijui anawafundisha nn watoto wake na jaamii kwa ujumla,TCRA na mamlaka nyinginezo zinazo husika chukueni hatua.
 
Nilidhani ni mm mwenyewe naliona kumbe na nyie!! Mtu mzima ovyo huyo
 
Ni hivi leo tu Basata imempiga Faini ya Milioni 5 msanii Whozu kwa kuimba wimbo usio na Maadili lakini tunashangaa huyu Mtangazaji hajawahi kupewa hata Onyo.

Oscar Oscar amekuwa gumzo mitandaoni, Haoni haya wala aibu kusambaza maudhui ya ngono, kwa sasa anafahamika kama waziri wa ngono.

Inafikirisha Sana kuona mtu mwenye age 40+ mwenye familia anafanya haya hadharani.

Wanaosema suluhu ni kumu unfollow fikirieni nje ya box, wewe unaweza ukawa mtu uliestaarabika ukachukua uamuzi huo lakini umeifikiria jamii kwa ujumla hasa kwa vijana wetu wadogo?

tokea aachane na ualimu ( profession yake ) shule moja wilaya ya kinondoni na kuvutwa na maulid kitenge efm miaka kadhaa iliyopita akiwa sambamba na swahiba wake mtangazaji musa kawambwa kuanza kuchambua mpira kipindi cha michezo cha sports headquarters cha efm na kuanza kupata umaarufu wa ghafla, exposure, kumiliki magari ya kifahari, kuwa na hela chafu ( za madili ya mjini mjini ) na endorsments kadhaa oscar oscar kabadilika mno kitabia na kimaadili hadi hata kutushangaza tuliokuwa tukimheshimu na hata kumshauri kuhusu maisha na ugumu wake alioupitia kutokana na maisha yake duni aliyokuwa nayo

pesa na umaarufu wa ghafla ambao hakuwahi kuutegemea na kuamua kuwa na ukaribu na watu wabaya ( wahuni, .mafisadi na wauza dawa za kulevya ) kumemharibu hadi sasa ameanza kuwa mlevi kupindukia, mlala hovyo na wanawake, mjivuni na ni mwenye dharau na jeuri iliyopitiliza

na kuna mtu aliniambia kuwa upo uhusiano mzuri kati ya oscar oscar na dawa za kulevya ila bado naendelea kuuchunguza japo kwa 51% nimeanza kuuamini japo uhakika pekee nilionao kupitia rafiki yake mmoja wa kwao kaliua mkoani tabora na kupitia kwa rafiki yake haji manara ni kwamba bangi / msuba / mpepe / udi Karaha / sigara bwege / puje / nyasi kavu anavuta na anaivuta hasa sometimes na mvutaji mwenzake na swahiba wake haji manara kwake ( haji manara ) slip way masaki

licha ya haya mapungufu yake yote ila jamaa ( oscar oscar ) is very intelligent ( kipanga hasa ) na ni msomi mzuri na mkubwa tu kwa sasa akiwa anamiliki degrees zake mbili moja ya education na hii ya hivi karibuni ya mass communication aliyoipata kutoka chuo kikuu cha tumaini ( tudarco ) mwenge kinondoni dar es salaam tanzania

asipobadilika ninaliona anguko lake
 
Tanzania kuna vituko sana, mimi sio mpenzi wa miziki ya taarabu na mahadhi yake. Itakuwa ni swala la kushangaza kama ntafata kurasa zenye maudhui hayo hayo ya taarabu halafu nije tena kulalamika kwamba waimba taarabu wana maudhui ya matusi.

Same applies kwa mtu anayemlalamikia Oscar Oscar. Kama hupendi post zake unamfollow ili iwaje. Wacha kumfatilia uone kama utaziona post zake.

Ni ushamba wa wabongo na mambo ya teknohama na mitandao...
Wanadhani ndio usasa kufollow follow watu sijua insta, twita, mara fesibuku
Halafu wakiona kitu hakiwapendezi wanataka serikali iingilie
Ni ile kuzoea akili ya unyumbu, kuchungwa na kuswagwa kama mfugo.
 
Ni hivi leo tu Basata imempiga Faini ya Milioni 5 msanii Whozu kwa kuimba wimbo usio na Maadili lakini tunashangaa huyu Mtangazaji hajawahi kupewa hata Onyo.

Oscar Oscar amekuwa gumzo mitandaoni, Haoni haya wala aibu kusambaza maudhui ya ngono, kwa sasa anafahamika kama waziri wa ngono.

Inafikirisha Sana kuona mtu mwenye age 40+ mwenye familia anafanya haya hadharani.

Wanaosema suluhu ni kumu unfollow fikirieni nje ya box, wewe unaweza ukawa mtu uliestaarabika ukachukua uamuzi huo lakini umeifikiria jamii kwa ujumla hasa kwa vijana wetu wadogo?

Ni kweli kabisa. Mwanzoni alikuwa na memes zenye utani zisizo na mwelekeo wa kingono....miezi ya hivi karibuni akabobea kwenye ngono tu!
 
Kwa wewe kumpa promo ndo nimemjua leo sikuwah kumfaham mtu huyu
Hata ivyo anaonekana ndo anabalehe kwann ana miaka 40+ naomben msaada kaipataje pataje
 
huyo jamaa. nashindwa hata ni comment nini lakini serkali waache kubeba watu na kuwatofautisha na viatu
 
Back
Top Bottom