Au ndio hawa wazee wa hovyo ambao walikuwa vijana wa hovyo ,Inafikirisha Sana kwanini anakuwa hivyo mtu mwenye age 40+ anabidi kuwa na hekima na MAARIFA
Sema ndo hivyo unaweza unfollow page zake
Wanawake wanatembea kabisa uchi wala hakuna maneno ila huyo kaandika tu sentens zake tata tayari maneno kibaaoooAnawaandikia wapumbavu wenzie
Kwani bado?Sad enough pengine huyu ni Mume wa mwanamke flani anayejiheshimu pahala na Baba wa watoto kadhaa..!!
Mungu niepushe na mwanaume asiye na akili tafadhali..!![emoji120]
Nahamu ya kula kitumbua kikubwaNi hivi leo tu Basata imempiga Faini ya Milioni 5 msanii Whozu kwa kuimba wimbo usio na Maadili lakini tunashangaa huyu Mtangazaji hajawahi kupewa hata Onyo.
Oscar Oscar amekuwa gumzo mitandaoni, Haoni haya wala aibu kusambaza maudhui ya ngono, kwa sasa anafahamika kama waziri wa ngono.
Inafikirisha Sana kuona mtu mwenye age 40+ mwenye familia anafanya haya hadharani.
Wanaosema suluhu ni kumu unfollow fikirieni nje ya box, wewe unaweza ukawa mtu uliestaarabika ukachukua uamuzi huo lakini umeifikiria jamii kwa ujumla hasa kwa vijana wetu wadogo?
Huyo ni kubwa jingaNi hivi leo tu Basata imempiga Faini ya Milioni 5 msanii Whozu kwa kuimba wimbo usio na Maadili lakini tunashangaa huyu Mtangazaji hajawahi kupewa hata Onyo.
Oscar Oscar amekuwa gumzo mitandaoni, Haoni haya wala aibu kusambaza maudhui ya ngono, kwa sasa anafahamika kama waziri wa ngono.
Inafikirisha Sana kuona mtu mwenye age 40+ mwenye familia anafanya haya hadharani.
Wanaosema suluhu ni kumu unfollow fikirieni nje ya box, wewe unaweza ukawa mtu uliestaarabika ukachukua uamuzi huo lakini umeifikiria jamii kwa ujumla hasa kwa vijana wetu wadogo?
tokea aachane na ualimu ( profession yake ) shule moja wilaya ya kinondoni na kuvutwa na maulid kitenge efm miaka kadhaa iliyopita akiwa sambamba na swahiba wake mtangazaji musa kawambwa kuanza kuchambua mpira kipindi cha michezo cha sports headquarters cha efm na kuanza kupata umaarufu wa ghafla, exposure, kumiliki magari ya kifahari, kuwa na hela chafu ( za madili ya mjini mjini ) na endorsments kadhaa oscar oscar kabadilika mno kitabia na kimaadili hadi hata kutushangaza tuliokuwa tukimheshimu na hata kumshauri kuhusu maisha na ugumu wake alioupitia kutokana na maisha yake duni aliyokuwa nayoNi hivi leo tu Basata imempiga Faini ya Milioni 5 msanii Whozu kwa kuimba wimbo usio na Maadili lakini tunashangaa huyu Mtangazaji hajawahi kupewa hata Onyo.
Oscar Oscar amekuwa gumzo mitandaoni, Haoni haya wala aibu kusambaza maudhui ya ngono, kwa sasa anafahamika kama waziri wa ngono.
Inafikirisha Sana kuona mtu mwenye age 40+ mwenye familia anafanya haya hadharani.
Wanaosema suluhu ni kumu unfollow fikirieni nje ya box, wewe unaweza ukawa mtu uliestaarabika ukachukua uamuzi huo lakini umeifikiria jamii kwa ujumla hasa kwa vijana wetu wadogo?
Tanzania kuna vituko sana, mimi sio mpenzi wa miziki ya taarabu na mahadhi yake. Itakuwa ni swala la kushangaza kama ntafata kurasa zenye maudhui hayo hayo ya taarabu halafu nije tena kulalamika kwamba waimba taarabu wana maudhui ya matusi.
Same applies kwa mtu anayemlalamikia Oscar Oscar. Kama hupendi post zake unamfollow ili iwaje. Wacha kumfatilia uone kama utaziona post zake.
Wapiga ramli kazini....na kuna mtu aliniambia kuwa upo uhusiano mzuri kati ya oscar oscar na dawa za kulevya ila bado naendelea kuuchunguza japo kwa 51% nimeanza kuuamini
Ni kweli kabisa. Mwanzoni alikuwa na memes zenye utani zisizo na mwelekeo wa kingono....miezi ya hivi karibuni akabobea kwenye ngono tu!Ni hivi leo tu Basata imempiga Faini ya Milioni 5 msanii Whozu kwa kuimba wimbo usio na Maadili lakini tunashangaa huyu Mtangazaji hajawahi kupewa hata Onyo.
Oscar Oscar amekuwa gumzo mitandaoni, Haoni haya wala aibu kusambaza maudhui ya ngono, kwa sasa anafahamika kama waziri wa ngono.
Inafikirisha Sana kuona mtu mwenye age 40+ mwenye familia anafanya haya hadharani.
Wanaosema suluhu ni kumu unfollow fikirieni nje ya box, wewe unaweza ukawa mtu uliestaarabika ukachukua uamuzi huo lakini umeifikiria jamii kwa ujumla hasa kwa vijana wetu wadogo?
🖕you're a damn fool