DOKEZO Mtangazaji Oscar Oscar anatumia mitandao kufunza, kueneza na kuchochea itikadi za uzinzi. Mamlaka husika mchukulieni hatua

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Shida inaanzia kwa mwajiri wake wa kazi kwamba haoni kama jamaa anachafua brand.
 
Shida yake nini
Waache upumbavu tuache kuenjoy maisha et kisa wanawake.

Kwani ni uongo wanawake sio chombo cha starehe! Isingukwa starehe nani angehangaika nao.
 
Hili jamaa naonaga Kuna nati zimekata,matusi yenyewe yakitoto,utakuta limeoa na Lina watoto wanaomtegemea.
 
Yaani haya ni mawazo ya mtu wa zaidi ya miaka 40 kweli? Basi Tanzania tuna watangazaji wapuuzi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…