Mtangazaji Paul James 'PJ' arejea Clouds FM

Oooh ok nashukuru kwa kunielewesha mkuu
 
Ipo haja ya kuboreshwa radio nyingine pamoja na kutoa promote wanamuziki sababu wakati mwengine radio 1 tu kama clouds kumsusia mwanamuziki na kufeli moja kwa moja haijakaa sawa.
Fursa za kuanzisha redio nyingine zenye ushindani inabidi iongezeke ili ushindani usiwe upande mmoja.
 
Kama ni kweli, habari haija nifurahisha hii
 
wengine wala hatuna habari na kusikiiza redio, hizo jahazi sijui ubaoni wala sijui zunahusu nini, tv tu kazi kuangalia.
pampja na hayo ni vyema watu waheshimu taaluma ya utangazaji, sio ilimradi tu mtu anafahamika basi anafaaa kuwa mtangazaji, ndio maana watu wanasomea hii kitu.
Hizi redio ziliishakuwa fujofujo ndio maana wengine tuliishaacha kusikiliza tufanye mambo ya msingi
 
Huwezi mchanganya zembwela na hao waganga njaa
 
Dah mkubwa fella, babu talle wanauhusiano mkubwa na hao unaowataja na ukitaka kutoboa inabidi uwapigie magoti sio vizuri,wasanii wanakosa uthubutu
 
Yawezekana ni ushamba wangu au umri, binafsi baadhi ya vipindi vingi vya Clouds FM sioni maudhui yake na faida chanya za kuijenga jamii yetu na kwa maendeleo ya taifa. Nadhani wangepewa nafasi ya kupromoti sanaa tuu, vingine waachie wengine
Hata mimi naona hivyo, vipindi vingi havina maudhui, lakini wanasema ukiona hivyo ujuwe umri unakutupa mkono...
 
Daaa...wamerudi kweli clouds Fm...namsikia PJ saivi xxl

0404
 
Reactions: Lee
Kituo cha redio cha Clouds kimeamua kumrudisha Paul James. PJ aliondoka Clouds fm mwezi wa 3 baada ya kumaliza mkataba wake.

PJ anakuja kukifufua kipindi cha Power Breakfast baada ya Kipanya na Fredwa kupwaya sana na kipindi kupoteza wasililozaji wengi.
 
Reactions: Lee
Kweli nimeamini mjini kuna fitna. Jamaa karudi.
 
Dah mkubwa fella, babu talle wanauhusiano mkubwa na hao unaowataja na ukitaka kutoboa inabidi uwapigie magoti sio vizuri,wasanii wanakosa uthubutu
Hata hawa kina fella, babu tale na sallam wanatakiwa kujenga misingi kwa maendeleo ya mziki wa Tanzania hasa kimataifa. Ili isitokee siku wakifulia/ kufariki watu waanze moja kutafuta channel za kimataifa. Kuna wasanii wengi wazuri wanatakiwa kufika level za kimataifa pia kuna mameneja wengi wazuri wanaohitaji soko la mataifa kuwasaidia waTz
 
Baada ya kuona wanapwaya katika kupeluz na kudadis hatimaye Clouds fm wameamua kumrudisha Paul James maana walikuwa wameyumba ila kwa mtazamo wang naona badoo pengo la Gerald Hando bado linaonekanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…