Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengine wamezaliwa kutumwa tu maisha Yao yote.Dah... wangekuwa na akili ya kujitambua wangeanzisha radio yao
Kuna radio nyingi kwa mfano mimi napenda ea radio hizo nyingine ni bahati kuzisikilizaHata mimi naona hivyo, vipindi vingi havina maudhui, lakini wanasema ukiona hivyo ujuwe umri unakutupa mkono...
Kituo cha redio cha Clouds kimeamua kumrudisha Paul James. PJ aliondoka Clouds fm mwezi wa 3 baada ya kumaliza mkataba wake.
PJ anakuja kukifufua kipindi cha Power Breakfast baada ya Kipanya na Fredwa kupwaya sana na kipindi kupoteza wasililozaji wengi.
Mkuu umenena vema. Ni kweli utangazaji ni taaluma( professional) kama zilivyo taaluma nyingine. Ndio watangazaji wa zamani kama Tido Muhando, Betty Mkwasa, Julius Nyaisanga(R.I.P), Charlea Hilal, Shabani Kisu, Mahamud Mikidad, Sarah Dumba na wengineo wengi walikuwa wana ladha ya kipekee ukiwasikiliza tofauti na wasasa. Hawa wa sasa ni ma MCZembwela sio mtangazaji, ni muongeaji kwenye radio, nikama hao kina gigy money sijui na kida Idrisa na wengine wanao fanania hivyo, utangazaji ni fani lazima ukasomee. utangazaji ni fani kama udakitari na ualimu, kuna ethics zake, kufanya kazi kwenye kituo cha habari hakikufanyi kuwa mwanahabari. Kama kuna mtu ameingia kwenye field ya habari kutokana na umashuhuri wake au namna yoyote kisha akaona kuna future ndani ya habari, inabidin afanye maarifa ili aingie darasani kusomea hiyo kazi.