Mtangazaji Paul James 'PJ' arejea Clouds FM

Mtangazaji Paul James 'PJ' arejea Clouds FM

kuna kitu kikubwa clouds wanafanya ambacho radio pinzani hawajakitambua bado
 
Kachoka kujichoresha kila siku,maana ile redio kila baada ya muda fulani wanaenda kufanyia kazi kwenye maeneo ya wazi.
 
Niliipenda sana pb kipindi kile yupo maosud kipanya, fina mango na Gerald hando, ilikuwa sikosi kusikiliza wale watu walikuwa na chemistry ya hatari ila masoud na fina walipoondoka tu na mimi nikaacha kusikiliza, na toka aliporudi masoud nimeanza tena kusikiliza pb ingawa ile ladha ya mwanzo bado haipo, i think wangeweza kumrudisha gerald akakaa na masoud kipind kingenoga mmmmno
 
  • Thanks
Reactions: A85
Kwa hii tension wanayoifanya clouds ni sawa na kumpiga chura teke (efm).....
 
Hando anaangaliana vp usoni na masudi kipanya......wana bifu hawa
 
Boss Runge si mtu wa mchezo mchezo! E fm tunaenda kuizika rasmi tar 1 mwezi wa kwanza 2017! Adela Tilya kuna maogezi yanafanyika na pale E sport kuna watu watu wanatakiwa kuchukuliwa hapo kabla ya mwezi wa 2 mwakani haha!!
 
Hata Timu ya Mpira iliipate Mashabiki Wengi ni lazima wawe na Wachezaji Wazuri wenye vipaji haswaa na ubunifu wa kipekee, Clouds Media kiujumla Wamelipa kipaumbele swala hilo kwa kusajil Watangazaji Mashuhuri Wanaopendwa na Watu kwa utashi wao. Kwa Tanzania redio pendwa ni Clouds FM Leo hii baada ya PJ kurudi Clouds FM Hapa Dodoma Watu Wamefurahi sana kiukwel Clouds sio watu wa Mchezo mchezo hawanaga Madongo hawa jamaa yan unashtukia Mtu yupo Mjengoni haaaaaa
 
Damu mpya ndio hiyo inayosababisha wafungiwe for three months...
Unamaanisha Zamaradi? haha inawezekana Zamaradi akawa mkongwe kwenye tasnia ya utangazaji kuliko ata huyo PJ. Zamaradi tokea enzi za C2C
 
Back
Top Bottom