Tetesi: Mtangazaji Salim Kikeke anarudi nyumbani Kuwa Mkurugenzi Azam Media

Tetesi: Mtangazaji Salim Kikeke anarudi nyumbani Kuwa Mkurugenzi Azam Media

Wakuu mpo poa?
Kwa habari za ndani kabisa kutoka Azama Media, zinadai Mtangazaji Salim Kikeke wa BBC ameomba kustaafu.

Lengo lake kuu ni kurejea Tanzania kufanya kazi na Azam Media.
BBC wamesema wamesitisha mikataba watangazaji 5 wa dira ya dunia .....pia idhaa kiswahili inarudi Nairobi sio London tena ....kwa hiyo kule kibarua kimeota nyasi acha arudi apate kazi Bongo siku zisogee
 
Back
Top Bottom