Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,611
Waandishi wanaandika hata zaidi ya miaka 60.Tido Mhando anastaafu au?
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waandishi wanaandika hata zaidi ya miaka 60.Tido Mhando anastaafu au?
Kwani BBC ni taasisi ya serikali Tz, kumhusisha na teuzi za serikali sioni sawa, wapo watu kibao na mahiri hapa nchini.Au nyie mnafananisha kazi za ofisini na mchezaji wa mpira.Amerejea wakati muafaka, fursa ni nyingi, aende Azam chaguo ni lake, mengine Mama ataamua.
Ni sh? Hiyo unayoweza kuilinganisha na malipo ya bbcWewe unaudharau ukurugenzi wa Azam, IPP, TBC? Ni vyombo vya ndani Ila malipo mazuri Sana.
Hivi jamaa ulipwa mshahara kwa kazi hiyo tuu? au kuna kazi nyingine anafanyaShaban Kisu (State MC) still on the waiting list, yet you want Kikeke to come and bypass, overpass and flypass him? Baghosha!
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
TakbiirWakuu mpo poa?
Kwa habari za ndani kabisa kutoka Azama Media, zinadai Mtangazaji Salim Kikeke wa BBC ameomba kustaafu.
Lengo lake kuu ni kurejea Tanzania kufanya kazi na Azam Media.