Tetesi: Mtangazaji Salim Kikeke anarudi nyumbani Kuwa Mkurugenzi Azam Media

Tetesi: Mtangazaji Salim Kikeke anarudi nyumbani Kuwa Mkurugenzi Azam Media

Wakuu mpo poa?
Kwa habari za ndani kabisa kutoka Azama Media, zinadai Mtangazaji Salim Kikeke wa BBC ameomba kustaafu.

Lengo lake kuu ni kurejea Tanzania kufanya kazi na Azam Media.
We hujielewi kabisa. Yaani aondoke kwa hiari yake BBC kwa lengo la kuja kufanya kazi AZAM MEDIA? Si kweli. Hilo sio lengo, chunguza tena!
 
Sasa kastaafu si arudi afanye mambo ingine kufuga kuku,kulima maboga na matikitimaji.
Anarudi awe meneja azam kwanini?
Hawa vijana wahitimu chuo huko wafanye kazi gani sasa na wamejaa mitaani.
Kuna ujinga mwingi sana bongo.
Mkuu mbona haumshauri Domo kaya aajiri wahitimu wapya amabo hawajui kutofautisha "R" na "L"?
 
We hujielewi kabisa. Yaani aondoke kwa hiari yake BBC kwa lengo la kuja kufanya kazi AZAM MEDIA? Si kweli. Hilo sio lengo, chunguza tena!
Wewe unaudharau ukurugenzi wa Azam, IPP, TBC? Ni vyombo vya ndani Ila malipo mazuri Sana.
 
Attachments

  • Screenshot_20230429-161028.png
    Screenshot_20230429-161028.png
    164.5 KB · Views: 3
Back
Top Bottom