Tetesi: Mtangazaji Salim Kikeke anarudi nyumbani Kuwa Mkurugenzi Azam Media

Tetesi: Mtangazaji Salim Kikeke anarudi nyumbani Kuwa Mkurugenzi Azam Media

We hujielewi kabisa. Yaani aondoke kwa hiari yake BBC kwa lengo la kuja kufanya kazi AZAM MEDIA? Si kweli. Hilo sio lengo, chunguza tena!
Kwani nini kinashindikana iwapo tu maslahi wameafikiana. Kumbuka Charles alipotoka London alikuja kufanya kazi azam pamoja na swahiba wake Tido baada ya kusitishwa mkataba wake pale Tbc
 
Mkuu mbona haumshauri Domo kaya aajiri wahitimu wapya amabo hawajui kutofautisha "R" na "L"?
Mi domo sijui shughuli zake ni janja janja tu sina haja kumshauri.
Kwanini huyu mstaafu kaomba mwenyewe kustaafu aje achukue kazi ambazo wengine wangefanya?
Point yangu iko hapo
 
Mi domo sijui shughuli zake ni janja janja tu sina haja kumshauri.
Kwanini huyu mstaafu kaomba mwenyewe kustaafu aje achukue kazi ambazo wengine wangefanya?
Point yangu iko hapo
Wapi kasema ameomba kazi?
Zuhura Yunus ameteuliwa na raid,Charles Hilary na wengine wanaitwa na Kampuni kama Azam waje kuimarisha kikosi, Kwa uelewa wako mtu stoke BBC LONDON aje kuomba kazi Katika Chombo Gani Tanzania,Huyu ameacha Kazi kule labda kapata uteuzi au kaitwa Chombo flani.

Kwa hiyo ana umri wa kustaafu huyu Kikeke?
 
Umeelewa nilichosema?kwanini aache kazi aje kuchukua kazi huku vijana wanasota mda tu mtaani na wako kwenye taaluma hiyo.
Chales hillary kapewa kitengo chake.
Hahusiki kabisa na huu mjadala
 
Wapi kasema ameomba kazi?
Zuhura Yunus ameteuliwa na raid,Charles Hilary na wengine wanaitwa na Kampuni kama Azam waje kuimarisha kikosi, Kwa uelewa wako mtu stoke BBC LONDON aje kuomba kazi Katika Chombo Gani Tanzania,Huyu ameacha Kazi kule labda kapata uteuzi au kaitwa Chombo flani.

Kwa hiyo ana umri wa kustaafu huyu Kikeke?
BBC ni shirika la habari linaloendeshwa kwa kodi za wananchi. Kuna wakati waingereza waliwahi kulilalamikia kwa nini lina ma idara mengi yanaloliongezea matumizi wakati ni kodi za wananchi ndio zinaloliendesha? Wakakaa wamekubaliana idhaa zake za kigeni zifanye kazi locally ili kubana matumizi. ie ya kiswahili iende Nairobi. Na kingine wapunguze wafanyakazi kwenye shirika na idhaa zake za kigeni; na ndio hapo sasa akina Kikeke et al, wakakumbwa na fagio la chuma. Sijajua huyo jamaa ataenda wapi ingawa naelewa ana mke na mtoto muingereza. Kuna muda wa kufanya kazi na maisha maana kufanya kazi sehemu moja miaka 5-10 kwa ulaya na US watu wengi hawapendi hio kitu. Mengine zaidi ni mambo yake binafsi.
 
Back
Top Bottom