Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Eti ni kweli kuwa katika viwango vya CAF hili shirikisho ni sawa na Ndondo cup kwa TFF?Sawa, tukumbushane ndugu zangu, Yanga imeingia nusu fainali
BBC wamesema wamesitisha mikataba watangazaji 5 wa dira ya dunia .....pia idhaa kiswahili inarudi Nairobi sio London tena ....kwa hiyo kule kibarua kimeota nyasi acha arudi apate kazi Bongo siku zisogeeWakuu mpo poa?
Kwa habari za ndani kabisa kutoka Azama Media, zinadai Mtangazaji Salim Kikeke wa BBC ameomba kustaafu.
Lengo lake kuu ni kurejea Tanzania kufanya kazi na Azam Media.
Amekuuliza nani? Kijoti hatongozwi.Sawa, tukumbushane ndugu zangu, Yanga imeingia nusu fainali
Kwaiyo kula yao ulikuwa unawapa wewe?Washenzi hao hawakuwa na uzalendo Leo hii wanatupwa kama mizoga tu kikeke ni shoga huyo
Nafasi ya MSEMAJI wa Serikali iko wazi.Wakuu mpo poa?
Kwa habari za ndani kabisa kutoka Azama Media, zinadai Mtangazaji Salim Kikeke wa BBC ameomba kustaafu.
Lengo lake kuu ni kurejea Tanzania kufanya kazi na Azam Media.
Na hapa ndipo tunapofeli watanzania. Kuhusisha ubora wa mtu katika tasnia moja na moja kwa moja kuchukulia atakuwa bora na kwingineko.Siyo TBC tena?
Kutangaza siyo kuongoza
Mkuu hili linaukweli kiasi gani?ila wajue salim ni mwiingereza
Amerejea wakati muafaka, fursa ni nyingi, aende Azam chaguo ni lake, mengine Mama ataamua.Wakuu mpo poa?
Kwa habari za ndani kabisa kutoka Azama Media, zinadai Mtangazaji Salim Kikeke wa BBC ameomba kustaafu.
Lengo lake kuu ni kurejea Tanzania kufanya kazi na Azam Media.
Ukuu wa Wilaya umeuwa vipaji vingi sanaNa hapa ndipo tunapofeli watanzania. Kuhusisha ubora wa mtu katika tasnia moja na moja kwa moja kuchukulia atakuwa bora na kwingineko.
Hatma yake tunaweza ona wa Ma DC na RC wengi kuwa vimeo.
Wamuombee vibali ya kuishi Tanzaniaila wajue salim ni mwiingereza
Hii radio mishahara yaweza kuwa laki tatu au nne, Salim Kikeke hawawezi kumlipa, labda wakauze viwanja.Karibu Sana Radio Imaan
MumeoNdyo Nani