Ashatengeneza cycle ya cashflow, mchumia juani huyo...Wakuu mpo poa?
Kwa habari za ndani kabisa kutoka Azama Media, zinadai Mtangazaji Salim Kikeke wa BBC ameomba kustaafu.
Lengo lake kuu ni kurejea Tanzania kufanya kazi na Azam Media.
Alirubuniwa na baadaye akatelekezwa!!Mbona Charles alitokaga BBC akaenda Azam!
Kwanini Azam Media na siyo wakongwe ITV au Clouds Media?Wakuu mpo poa?
Kwa habari za ndani kabisa kutoka Azama Media, zinadai Mtangazaji Salim Kikeke wa BBC ameomba kustaafu.
Lengo lake kuu ni kurejea Tanzania kufanya kazi na Azam Media.
Yaani atoke BBC aende radio Iman akajitolee..... 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Hii radio mishahara yaweza kuwa laki tatu au nne, Salim Kikeke hawawezi kumlipa, labda wakauze viwanja.
Kwani nini kinashindikana iwapo tu maslahi wameafikiana. Kumbuka Charles alipotoka London alikuja kufanya kazi azam pamoja na swahiba wake Tido baada ya kusitishwa mkataba wake pale TbcWe hujielewi kabisa. Yaani aondoke kwa hiari yake BBC kwa lengo la kuja kufanya kazi AZAM MEDIA? Si kweli. Hilo sio lengo, chunguza tena!
Nakubaliana kabisa naweweYule hafai kuwa kiongozi,huwa ninamuona instagram na post zake za kitoto.
Wananzengo wanasema alishaukana uraia wa TzNafasi ya MSEMAJI wa Serikali iko wazi.
Ndio nafasi inamfaa Salim Kikeke.
Msigwa pole sana
alitelekezwa wapi?Alirubuniwa na baadaye akatelekezwa!!
Mi domo sijui shughuli zake ni janja janja tu sina haja kumshauri.Mkuu mbona haumshauri Domo kaya aajiri wahitimu wapya amabo hawajui kutofautisha "R" na "L"?
Wapi kasema ameomba kazi?Mi domo sijui shughuli zake ni janja janja tu sina haja kumshauri.
Kwanini huyu mstaafu kaomba mwenyewe kustaafu aje achukue kazi ambazo wengine wangefanya?
Point yangu iko hapo
Umeelewa nilichosema?kwanini aache kazi aje kuchukua kazi huku vijana wanasota mda tu mtaani na wako kwenye taaluma hiyo.Wapi kasema ameomba kazi?
Zuhura Yunus ameteuliwa na raid,Charles Hilary na wengine wanaitwa na Kampuni kama Azam waje kuimarisha kikosi, Kwa uelewa wako mtu stoke BBC LONDON aje kuomba kazi Katika Chombo Gani Tanzania,Huyu ameacha Kazi kule labda kapata uteuzi au kaitwa Chombo flani.
Kwa hiyo ana umri wa kustaafu huyu Kikeke?
SawasawaTanzania ni yetu sote aje tulijenge, Taifa!
BBC ni shirika la habari linaloendeshwa kwa kodi za wananchi. Kuna wakati waingereza waliwahi kulilalamikia kwa nini lina ma idara mengi yanaloliongezea matumizi wakati ni kodi za wananchi ndio zinaloliendesha? Wakakaa wamekubaliana idhaa zake za kigeni zifanye kazi locally ili kubana matumizi. ie ya kiswahili iende Nairobi. Na kingine wapunguze wafanyakazi kwenye shirika na idhaa zake za kigeni; na ndio hapo sasa akina Kikeke et al, wakakumbwa na fagio la chuma. Sijajua huyo jamaa ataenda wapi ingawa naelewa ana mke na mtoto muingereza. Kuna muda wa kufanya kazi na maisha maana kufanya kazi sehemu moja miaka 5-10 kwa ulaya na US watu wengi hawapendi hio kitu. Mengine zaidi ni mambo yake binafsi.Wapi kasema ameomba kazi?
Zuhura Yunus ameteuliwa na raid,Charles Hilary na wengine wanaitwa na Kampuni kama Azam waje kuimarisha kikosi, Kwa uelewa wako mtu stoke BBC LONDON aje kuomba kazi Katika Chombo Gani Tanzania,Huyu ameacha Kazi kule labda kapata uteuzi au kaitwa Chombo flani.
Kwa hiyo ana umri wa kustaafu huyu Kikeke?
Shaban Kisu (State MC) still on the waiting list, yet you want Kikeke to come and bypass, overpass and flypass him? Baghosha!Tanzania ni yetu sote aje tulijenge, Taifa!
Shaban Kisu (State MC) still on the waiting list, yet you want Kikeke to come and bypass, overpass and flypass him? Baghosha!
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app