F Filosofia ya Rorya JF-Expert Member Joined Sep 20, 2021 Posts 3,211 Reaction score 3,611 May 3, 2023 #61 Ubena Zomozi said: Tido Mhando anastaafu au? Click to expand... Waandishi wanaandika hata zaidi ya miaka 60. Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Ubena Zomozi said: Tido Mhando anastaafu au? Click to expand... Waandishi wanaandika hata zaidi ya miaka 60. Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
sengobad JF-Expert Member Joined Aug 13, 2017 Posts 9,008 Reaction score 8,788 May 3, 2023 #62 Frank I Ritte said: Amerejea wakati muafaka, fursa ni nyingi, aende Azam chaguo ni lake, mengine Mama ataamua. Click to expand... Kwani BBC ni taasisi ya serikali Tz, kumhusisha na teuzi za serikali sioni sawa, wapo watu kibao na mahiri hapa nchini.Au nyie mnafananisha kazi za ofisini na mchezaji wa mpira.
Frank I Ritte said: Amerejea wakati muafaka, fursa ni nyingi, aende Azam chaguo ni lake, mengine Mama ataamua. Click to expand... Kwani BBC ni taasisi ya serikali Tz, kumhusisha na teuzi za serikali sioni sawa, wapo watu kibao na mahiri hapa nchini.Au nyie mnafananisha kazi za ofisini na mchezaji wa mpira.
sengobad JF-Expert Member Joined Aug 13, 2017 Posts 9,008 Reaction score 8,788 May 3, 2023 #63 Freed Freed said: Wewe unaudharau ukurugenzi wa Azam, IPP, TBC? Ni vyombo vya ndani Ila malipo mazuri Sana. Click to expand... Ni sh? Hiyo unayoweza kuilinganisha na malipo ya bbc
Freed Freed said: Wewe unaudharau ukurugenzi wa Azam, IPP, TBC? Ni vyombo vya ndani Ila malipo mazuri Sana. Click to expand... Ni sh? Hiyo unayoweza kuilinganisha na malipo ya bbc
sengobad JF-Expert Member Joined Aug 13, 2017 Posts 9,008 Reaction score 8,788 May 3, 2023 #64 Filosofia ya Rorya said: Shaban Kisu (State MC) still on the waiting list, yet you want Kikeke to come and bypass, overpass and flypass him? Baghosha! Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app Click to expand... Hivi jamaa ulipwa mshahara kwa kazi hiyo tuu? au kuna kazi nyingine anafanya
Filosofia ya Rorya said: Shaban Kisu (State MC) still on the waiting list, yet you want Kikeke to come and bypass, overpass and flypass him? Baghosha! Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app Click to expand... Hivi jamaa ulipwa mshahara kwa kazi hiyo tuu? au kuna kazi nyingine anafanya
C connections JF-Expert Member Joined Apr 27, 2013 Posts 2,190 Reaction score 3,039 Dec 17, 2023 #65 Freed Freed said: Wakuu mpo poa? Kwa habari za ndani kabisa kutoka Azama Media, zinadai Mtangazaji Salim Kikeke wa BBC ameomba kustaafu. Lengo lake kuu ni kurejea Tanzania kufanya kazi na Azam Media. Click to expand... Takbiir
Freed Freed said: Wakuu mpo poa? Kwa habari za ndani kabisa kutoka Azama Media, zinadai Mtangazaji Salim Kikeke wa BBC ameomba kustaafu. Lengo lake kuu ni kurejea Tanzania kufanya kazi na Azam Media. Click to expand... Takbiir