Mtangazaji wa Clouds alalamikia kutishiwa na Haji Manara

Manara kichwani ni dhaifu sana. Kadri anavyo ongeasana ndipo udhaifu wake unavyo zidi kuji pambanua.
 
Watajuana wao wenyewe bhana, huenda wana migogoro binafsi, sie hatuhusiki.
 
Muulixa swali alikuwa sahihi na Manara analijuwa Hilo ndiyo maana alipaniki
 
Maswali ya technical unamuuliza Haji??

Haji kazi yake ni PR angemuuliza maswali ya kishabiki zaidi...

Hii phase ya kina Haji na Jerry Muro kufanya press conference badala ya makocha na wachezaji itaisha soon...
Jerry muro kafanya wapi press ya Yanga kabla ya kocha.

Yaani ujinga wa Simba unataka kuuhalalisha kupitia Yanga.

Yanga ilishaachaga huo upumbavu muda mrefu.
 
mmmmmhh ile kichwa ndiyo iwe na takrima kujibu majibu kama haya.

pale naona imejaa misemo ya kikorohani korohani na uswahili mtupu.
 
angejaribu kunifuata mimi kama ndio ningekuwa mwandishi
Ningempa kerbu moja huyo mwarabu wa ngoruka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…