Mtangazaji wa Clouds alalamikia kutishiwa na Haji Manara

Mtangazaji wa Clouds alalamikia kutishiwa na Haji Manara

Simba ikubali kukosolewa hiyo sio CCM Manara aache upumbavu pia

Kwa nini yeye kwenye mikutano ya waandishi wa habari lazima alete mambo ya hivi? Ni uswahili, ushamba au ni kitu gani? Anajikuta sijui ni nani vile huyu kiumbe.!
 
Manara ana matatizo!

Alipaswa aambatane na Mkude kwenye vipimo vya afya ya akili.

Kwa Nini asingesema mapema press conference yake anawaalika waandishi mashabiki wa Simba pekee?

Kila mwandishi anayeandika kisichompendeza Manara anakuwa adui.

Waandishi wangepotezea tu hizo press zake kumshusha mabega.

Exactly. Anahitaji sana waandishi kwa hiyo kazi yake. Sasa mabega juu ni ya nini? Anakera sana huyu baba asiyetaka kukua.
 
Wanamdekeza sana huyu fala. Ye kila siku anawaatack watu kwa mitusi na kuwadhalilisha..akiguswa yeye anatia huruma.

Wanamdekeza sana. Kuna video nyingine niliona muda tu, anamwambia mwandishi akae kimya, tena kwa design za kijinga jinga.. anaharass sana watu huyu. Ingebidi wamsusie kabisa hizo press conferences zake. Lishamba la jiji hili. Hapo kujipendekeza pendekeza kwake kwa wakubwa ndio ameona amemaliza maisha. Atapata funzo lake hapa hapa duniani, yetu macho.
 
Waandishi watoe tamko kwa Simba kuwa as long as Haji ndio anaitisha au atakuwa mzungumzaji katika Simba press conferences, wao hawatahudhuria.. tuone jeuri yake. Huyu mtu hapo ni debe tupu, Mungu angempa maisha hasa, sijui ingekuwaje.
 
Simba Ni wakati sahihi wa kuachana na manara

Msipo sikia hili sijui mtasikia lipi .

Manara Ni mshamba ,classless, Inferiority complex inamtafuna ,Yuko defensive always,mpumbavu ,limbukeni wa umaarufu,maamuma ,chawa,kizabizabina.

Simba achaneni na watu wajinga wajinga dizaini wa manara tafute watu professional waendeshe hio idara .

Yani ulivyomuelezea hujakosea hata moja. Ndivyo alivyo, na linalokuja mwanzo ni hilo la ushamba.
 
Kwa nini yeye kwenye mikutano ya waandishi wa habari lazima alete mambo ya hivi? Ni uswahili, ushamba au ni kitu gani? Anajikuta sijui ni nani vile huyu kiumbe.!
Simba wanafuga lijinga
 
Manara leo kachemka bigly
Ni suala kubwa.
Ni kosa NJE ya soka.
Ni harrasment
Ni retaliation
Ni threat

Wa kuchukua hatua si Prisca pekee.
Ni Simba
Ni Clouds Media Group.
Ni TASWA
Ni TFF

Jamii itachukulia poa, ila kakosea sana

Ila acha atukanwe Tu njaa Zao na kujikomba kwa Simba, nakaonaga kako kimbelembele kuripoti habari za Simba... Wacha watukanwe Tu hakuna namna ***** Zao.
tena kanajifanyaga kenyewe na simba dam wakishinda simba kanatangaza kwa mbwembwe wakifungwa kanatafuna maneno utasikia simba leo wamevutwa shati[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
 
HABARI ZIKUFIKIE

Wakuu Kwa Mujibu wa Tanzania Sports Writers Association (TASWA) Haji Manara , Afisa Habari na Msemaji wa Klabu ya Simba Sc na Prisca Kishamba , Mwana Habari za Michezo kupitia Kituo cha Habari Clouds Media Group wamemaliza Tofauti zao. Yanaisha kiroho safi ila Heshima inabaki Milele..
 
KuwatukHABARI ZIKUFIKIE

Ufala huu wa kumaliza tofauti pembeni ndomaana Manara anawaona waandishi ni wajinga tu na anaweza kuwatukana apendavyo.
 
haya ndio matatizo ya kuwapa kazi kubwa matapeli
mikia furumusha huyo siku akikutana na mtemi atakiona
 
P R I S C A - K I S H A M B A !
- Mwandishi / Mtangazaji wa clouds fm ametishiwa kudhalilishwa na msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara.

"KOSA LANGU NINI? Leo nilikuwa sehemu ya waandishi wa habari waliohudhuria mkutano wa klabu ya Simba SC na waandishi wa habari za michezo mkutano ambao uliongozwa na Haji Manara"

"Baada ya mkutano kumalizikiza Haji aliporuhusu maswali kwa waandishi waliokuwepo miongoni mwao waliouliza maswali ni mwandishi wa habari ABDUL DUNIA"

"Alimuuliza Haji 'Rekodi za michezo (3) ya mwisho kati ya Simba na Yanga ya ligi kuu inaonesha Yanga ilikuwa na wastani mzuri wa kupata matokeo mazuri dhidi ya Simba, huoni kwamba kwa rekodi hii ubora wenu uko kwa timu zingine na sio kwa YANGA ?"

"Haji Manara aliwaka sana na kumshushia maneno mwandishi yule na kumtuhumu kuwa yeye ni shabiki wa Yanga na ametumwa na Yanga, akamwambia siku zingine akienda kwenye PRESS awe na maswali ya kueleweka na sio maswali UCHWARA"

"Baada ya Haji kuwaka nikanyoosha mkono kumuuliza Haji kuwa, ni vyema kwa kuwa umetoa nafasi kwa watu kukuuliza maswali ujibu kwa kuwa swali hilo lilikuwa na lengo zuri tu"

"Kama kawaida Haji Manara alitumia mkutano huo uliokuwa live kwenye television na blogs mbalimbali kuniambia maneno ya VITISHO akiahidi KUNIDHALILISHA kwani anadai ana SMS zangu nyingi ambazo sio nzuri alisema..."

"Kaa kimya wewe, tena wewe ndio nilikuwa NAKUTAFUTA kwa muda mrefu, NITAKUDHALILISHA, hapa nina SMS zako huna adabu unanivunjia heshima kwenye press zangu kama nani?! Alisema Manara dhidi yangu"

"Mkutano ulipoisha Manara alipita na kunifuata nilipokuwa nimesimama akarudia tena akiahidi KUNIDHALILISHA siku moja huku akininyooshea kidole usoni"

"Nilijisikia vibaya kama binadamu, wakati huo alikuwa anatoka nje akiwa ameambatana na watu kadhaa, nilitoka nje ya ukumbi kumfuata na kumuita, nikamwambia 'Haji naomba usimame, nikamwambia kwa nini kila kunapokuwa na hadhara ya watu huwa unatishia KUNIDHALILISHA ?! Ni wapi nilikukosea?

"Nikamwambia naomba tumia fursa hii kuwaonesha waandishi hizo SMS zangu unazosema ni mbaya"

"Haji alinisogelea na kutaka KUNIKUNJA mbele ya UMMA wa Waandishi wa habari, waandishi kadhaa waliokuwepo wakawahi kumshika nami akanishika kaka anaitwa JACKSON kutoka NCARD kitengo cha mauzo aliyekuwa sehemu ya mkutano ule pamoja na MUSSA MWKISU na wengine waliokuwepo"

"Hii sio mara ya kwanza Haji kutumia jukwaa la watu KUNIDHALILISHA, ameshafanya hivyo kwenye group moja la WHATSAPP la Taifa stars kwa kuniita majina yasiyofaa"

"Nitafikisha ombi hili kwenye ofisi ya muajiri wangu kuandika barua kwenda uongozi wa SIMBA SC. Haji amenitishia mara kadhaa nikiwa kwenye majukumu yangu, ametishia KUNIDHALILISHA hata kupitia mitandao ya kijamii"

"Manara asitumie umaarufu wake, asitumie kivuli cha klabu yake ya Simba kutaka kuwadhalilisha watoto wa kike"

🔍 Prisca Kishamba
View attachment 1836334
Kwa nini kesi isiende polisi maana huyo jamaa mnamlea Sana na kaota pembe.
 
Hadithi za mikia haziko objective. Issue ni udhalilishaji tena wa mtoto wa kike, embu tutumie akili zetu vizuri, na tarehe 3 lazima tutafune myama. Simba kwao porini.

Kwa hiyo kisa tuu ni mtoto wa kike ndio ahoji upumbavu
Halafu haya mambo ya kuja kuingiza wanawake kwenye mambo ya kiume haya ndio madhara yake
 
Kwani angejibu ni kweli Yanga wamekuwa na matokeo mazuri kidogo katika mechi 3 za mwisho lakini sisi tunajuwa ni bora kuliko Yanga kwa kuwa tunategemea kuwa mabingwa mara 4 mfululizo hata JKT Ruvu wamekuwa wanatusumbua kidogo lakini haiwafanyi wao kuwa bora na sisi tumejipanga kuwaonesha nani bora Jumamosi kuwafunga na kuifanya sherehe ya ubingwa kunoga zaidi kwa kwa kuwafunga Yanga. Mechi zilizopita hazina ushawishi tena ni wiki hii kuwafunga na kuwaweka sehemu wanayostahili. Haya majibu tosha kabisa..

@Paschalmayalla kuna kipindi alialikwa ikulu akiwa kama mwandishi aa kujitegemea ilipofika zamu yake ya kuhoji kama kawaida yetu tunapenda kuhoji maswali ambayo ni magumu kujibu ili mtu akose la kujibu au ajibu tofauti ili tuonekane miamba

Magufuli lile jambo alilimaliza vizuri tuu pale mwanzoni
Alipomwambia paschal ya kuwa mayalla kwa kisukuma ni njaa
Ndivyo ambavyo na manara alideal na yule mlimbwende wa kigoma ili kufanya mjadala uwe mfupi

Tegemea majibu ya kipumbavu unapouliza maswali ya kipuuzi

Law of retaliation
 
@Paschalmayalla kuna kipindi alialikwa ikulu akiwa kama mwandishi aa kujitegemea ilipofika zamu yake ya kuhoji kama kawaida yetu tunapenda kuhoji maswali ambayo ni magumu kujibu ili mtu akose la kujibu au ajibu tofauti ili tuonekane miamba..
Kwa hiyo uliona Mayalla kuwa aliuliza swali la kipuuzi? nadhani ni mtu pekee aliyethubutu sio kama mwandishi wa habari tu wala mtu yoyote aliyewahi kumuuliza swali gumu JPM kama siku ile Mayalla na kwa kuwa ndio lilikuwa swali bora kuliko yote ndio maana unamkumbuka Mayalla tu siku ile mengine yote hata hatukumbuki.

Kwa Manara yule dada kauliza swali jepesi tu mechi 3 za mwisho za Simba na Yanga imeonekana Yanga kupata matokeo mazuri sasa upuuzi uko wapi. Mpuuzi yeye aliyejibu kwa jazba na matusi kudadadeki ndio maana press imeisha watu hawakumbuki alichosema zaidi ya hasira zake.

Kama hataki kuulizwa ita press ongea tu usichukue maswali ondoka wewe unapenda kuuza sura wakikuchokonoa hasira. Manara ana ujinga fulani uhuni wa kizamani wa kariakoo.
 
P R I S C A - K I S H A M B A !
- Mwandishi / Mtangazaji wa clouds fm ametishiwa kudhalilishwa na msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara.

"KOSA LANGU NINI ? Leo nilikuwa sehemu ya waandishi wa habari waliohudhuria mkutano wa klabu ya Simba SC na waandishi wa habari za michezo mkutano ambao uliongozwa na Haji Manara"

"Baada ya mkutano kumalizikiza Haji aliporuhusu maswali kwa waandishi waliokuwepo miongoni mwao waliouliza maswali ni mwandishi wa habari ABDUL DUNIA"

"Alimuuliza Haji 'Rekodi za michezo (3) ya mwisho kati ya Simba na Yanga ya ligi kuu inaonesha Yanga ilikuwa na wastani mzuri wa kupata matokeo mazuri dhidi ya Simba, huoni kwamba kwa rekodi hii ubora wenu uko kwa timu zingine na sio kwa YANGA ?"

"Haji Manara aliwaka sana na kumshushia maneno mwandishi yule na kumtuhumu kuwa yeye ni shabiki wa Yanga na ametumwa na Yanga,, akamwambia siku zingine akienda kwenye PRESS awe na maswali ya kueleweka na sio maswali UCHWALA"

"Baada ya Haji kuwaka nikanyoosha mkono kumuuliza Haji kuwa, ni vyema kwa kuwa umetoa nafasi kwa watu kukuuliza maswali ujibu kwa kuwa swali hilo lilikuwa na lengo zuri tu"

"Kama kawaida Haji Manara alitumia mkutano huo uliokuwa live kwenye television na blogs mbalimbali kuniambia maneno ya VITISHO akiahidi KUNIDHALILISHA kwani anadai ana SMS zangu nyingi ambazo sio nzuri alisema..."

"Kaa kimya wewe, tena wewe ndio nilikuwa NAKUTAFUTA kwa muda mrefu, NITAKUDHALILISHA, hapa nina SMS zako huna adabu unanivunjia heshima kwenye press zangu kama nani ?! Alisema Manara dhidi yangu"

"Mkutano ulipoisha Manara alipita na kunifuata nilipokuwa nimesimama akarudia tena akiahidi KUNIDHALILISHA siku moja huku akininyooshea kidole usoni"

"Nilijisikia vibaya kama binadamu, wakati huo alikuwa anatoka nje akiwa ameambatana na watu kadhaa, nilitoka nje ya ukumbi kumfuata na kumuita, nikamwambia 'Haji naomba usimame,, nikamwambia kwa nini kila kunapokuwa na hadhara ya watu huwa unatishia KUNIDHALILISHA ?! Niwapi nilikukosea ?

"Nikamwambia naomba tumia fursa hii kuwaonesha waandishi hizo SMS zangu unazosema ni mbaya"

"Haji alinisogelea na kutaka KUNIKUNJA mbele ya UMMA wa Waandishi wa habari, waandishi kadhaa waliokuwepo wakawahi kumshika nami akanishika kaka anaitwa JACKSON kutoka NCARD kitengo cha mauzo aliyekuwa sehemu ya mkutano ule pamoja na MUSSA MWKISU na wengine waliokuwepo"

"Hii sio mara ya kwanza Haji kutumia jukwaa la watu KUNIDHALILISHA, ameshafanya hivyo kwenye group moja la WHATSAPP la Taifastars kwa kuniita majina yasiyofaa"

"Nitafikisha ombi hili kwenye ofisi ya muajiri wangu kuandika barua kwenda uongozi wa SIMBA SC. Haji amenitishia mara kadhaa nikiwa kwenye majukumu yangu, ametishia KUNIDHALILISHA hata kupitia mitandao ya kijamii"

"Manara asitumie umaarufu wake, asitumie kivuli cha klabu yake ya Simba kutaka kuwadhalilisha watoto wa kike"

🔍 Prisca Kishamba
 
So what!nenda kafungue jarida polisi,Kutishiwa maisha ni kosa la jinai
 
Mdomo wa Manara hauna tofauti na choo cha stendi. Nadhani ana tatizo upstairs!
 
Hilo jinga linajua kuropoka tu kichwani zero brain. Mikelele mingi huku linawekwa mjini na vijana wa mjini.
Jinga sana na sura yake kama ana*unya.
 
Back
Top Bottom