Mtangazaji wa Clouds alalamikia kutishiwa na Haji Manara

Mtangazaji wa Clouds alalamikia kutishiwa na Haji Manara

Hii sio mara ya kwanza, huyu mwandishi Haji alishamwambia asiwe anahudhuria press zake na ndiye sababu iliyomfanya Haji aite waandishi takataka ni kiandishi shabiki cha upotolo kinaqjifanya kinajua sana acha kinyooshwe.
 
Huyu Manara anachekewa sana....

Yeye ni nani nchi hii kudhalilisha watu hususani WANAWAKE ?!!!

Manara asitumie "Madhaifu yake" kuwafanya wengine MATEKA....
 
Haji Manara Nje Ya Simba Wewe Sio Lolote Simba Ndio Inakupa Platform naona umeshajiona wewe Ni Mkubwa Kuliko Simba...Acha Hayo madharau Jamaa
 
Daaah!! Eti Prisca Kishamba nae ni mtoto wa kike wakati ni lijibibi lile.
 
Manara na Prisca nadhani wana personal interests zao

ILA Haji jana kazingua Big time
 
Hii sio mara ya kwanza, huyu mwandishi Haji alishamwambia asiwe anahudhuria press zake na ndiye sababu iliyomfanya Haji aite waandishi takataka ni kiandishi shabiki cha upotolo kinaqjifanya kinajua sana acha kinyooshwe.
Huyo Zeruzeru anakashifu wenzie na yeye tukianza kumsengenya analeta vilio.

Maalbino wana shida Sana.
 
Hadithi za mikia haziko objective. Issue ni udhalilishaji tena wa mtoto wa kike, embu tutumie akili zetu vizuri, na tarehe 3 lazima tutafune myama. Simba kwao porini.
Kwa upumbavu huu wafungwe na manara aadhibiwe
 
Aliuliza swali zuri sana, hapo ndipo Manara sngetumia nafasi kuonyesha walivyojipanga kummaliza yanga, matokeovyake zeruzeru akajamba mezani
Manara leo kachemka bigly
Ni suala kubwa.
Ni kosa NJE ya soka.
Ni harrasment
Ni retaliation
Ni threat

Wa kuchukua hatua si Prisca pekee.
Ni Simba
Ni Clouds Media Group.
Ni TASWA
Ni TFF

Jamii itachukulia poa, ila kakosea sana

Ila acha atukanwe Tu njaa Zao na kujikomba kwa Simba, nakaonaga kako kimbelembele kuripoti habari za Simba... Wacha watukanwe Tu hakuna namna ***** Zao.
 
Basi clouds waache habari za Simbs. Kuna media nyingi tuu za maana. Clouds ni wash enzi tu kama SABAYA.
Kwanini mnaegemea udhabiki hadi kusahau utu?
Ufike wskati tutenganishe ushabiki na ukweli.

Manara kama msemaji wa timu yenye heshima amechemka.
Ni upumbavu mkubwa kuwa na msemaji fala kama alivyofanya.
Tusiendekeze upumbavu huu.
Hili litamgharimu
 
Back
Top Bottom