Mtangazaji wa Clouds alalamikia kutishiwa na Haji Manara

Mtangazaji wa Clouds alalamikia kutishiwa na Haji Manara

Acheni kushabikia mambo ya kijinga, nje ya Simba na Yanga sote ni Watanzania, sote ni binadamu. Alichokifanya Haji si cha kiungwana. Michezo ni furaha na Upendo si uadui.
Wewe unajua kwanini alimuwakia vile?.
 
Simba Ni wakati sahihi wa kuachana na manara

Msipo sikia hili sijui mtasikia lipi .

Manara Ni mshamba ,classless, Inferiority complex inamtafuna ,Yuko defensive always,mpumbavu ,limbukeni wa umaarufu,maamuma ,chawa,kizabizabina.

Simba achaneni na watu wajinga wajinga dizaini wa manara tafute watu professional waendeshe hio idara .
 
Maswali ya technical unamuuliza Haji??

Haji kazi yake ni PR angemuuliza maswali ya kishabiki zaidi...

Hii phase ya kina Haji na Jerry Muro kufanya press conference badala ya makocha na wachezaji itaisha soon...
Kwani ukiulizwa swali ambalo hupaswi kuulizwa namna Bora ya kujibu ni kumtisha mtu.

Watanzania mna akili za ajabu Sana ukute na wewe una degree
 
Hivi ni kweli mechi tatu za ligi za mwisho yanga aliibuka kinara?.
Mimi kwa ukweli sijui ila ni baada ya lile swali ndio nimepata ushawishi wa kuangalia nini kilitokea mechi hizo 3 lakini kwa jinsi Manara alivyo panic ni wazi mwandishi alipata alichokitaka alifanyia kazi.
 
Uchaguzi wa TFF umeingiliwa na Siasa, JIWE ndiye alipandikiza wanasiasa na sasa tunakula wa chuya.
1. Karia ni SIMBA.
2. Clouds ina U-YANGA kupita maelezo na ipo wazi.
3. Mwanamke wa clouds ni mwandishi wa gazeti la michezo la Yanga na alikuwa ametumwa kutibua mkutano na taarifa zilikuwa zishamfikia Manara mapema kabisa.
Kuharibu mkutano kivipi yani? Kupigwa swali usilolipenda ndo kuharibu mkutano? Acheni ushabiki w kijinga

Kosa la yule dada ni lipi?
 
Manara ni mkosefu, hafai kuwa simba uswahili umemjaa pomoni.
Anajikweza sana, mafanikio ya simba yanahitaji hela za MO, sio kelele za manara wanamvumilia tu.
Japo huyo dada naye yupo kwenye payroll ya GSM ni mchonganishi na mzushi, ila njia iliyotumiwa na haji sio sahihi.
 
Mimi msimbazi lakini Manara alitakiwa awatishie na kuwafokea akina Kitenge bana...sio hao dagaa
 
Huyu Haji angekuwa huku Kujijini kwangu nilipo, angestahili kabisa kuitwa BONGOTOLE! Maana hana akili, zaidi tu ya ile ya kulia chakula na kuendea chooni.

Kulikuwa na ugumu gani kwa upande wake kufafanua matokeo ya hizo mechi tatu za mwisho walizokutana na Yanga? Badala ya kujibu swali, yeye anaanza kuwashambulia watu! Sasa kama siyo uwendawazimu huu, ni nini!!

Kuna wakati ifikie hawa walemavu wapewe kazi wanazo endana nazo. Mbona Wasemaji wa mwanzo kabisa na wakongwe kama akina Thobias Kifaru, hawana shobo kama huyu Pungasese!!!
 
Yuko mmoja wa clouds juzi akawa anamuuliza kusah
Mo j; Nnasikia demu wako aunt ezekiel anadanga
Ningekuwa kusah huyu jamaaa angekuwa anatembelea wheelchair kwa sasa

Hawa waandishi wa bongo wana upumbavu mwingi
Hawako proffesional hata kidogo
Just imagine mtu anakuuliza swali kama hilo alafu anategemea umjibu vizuri eti kisa ni mwandishi wa habari hii si kweli na haifai hata kidogo


Waandishi mbadilike
Kilikuwa kipindi gani? Isijekuwa vipindi vyenu mnaviita shilawadu
 
We acha upumbavu hamws nhende yupo hai sio marehwmu,anaishi mwanza
Sawa mimi mpumbavu unamjua James Nhende aliyekuwa mpiga picha maarufu wa gazeti la Mfanyakazi baadae umauti ukamkuta Tanzania Daima. Nenda maktaba ukasome na ujue kwanini Mogela alimpiga kichwa James. Usikimbilie kutukana tu. James amefariki na msiba wake ulikuwa sinza.
 
Back
Top Bottom