TANZIA Mtangazaji wa Clouds FM, Ephraim Kibonde afariki dunia. Azikwa makaburi ya Kinondoni,Dar es Salaam

Nakumbuka enzi hzo don Bosco pale alikuwa anatingisha....Enzi hzo upanga imechangamka
Pole kwa kibonde family&sarah&stella&lydia

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kabisa mkuu, enzi zile za mechi za mashule pale kwenye kauwanja kadogo ka mpira wa miguu, halafu mechi ikiisha tunahamia ndani kwenye ule uwanja wa basketball. Maisha ni mafupi sana, haya nayoyaongea ni mambo ya miaka ya 1988 - 1991.
 
Kweli kabisa watu wanakufa kila siku ila ndo hivyo tena.
Yaani me Leo nimejikuta sina raha kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upumzike Kwa amani Ephraim Kibonde kama ilivyo Kwa Boss Rugemarila Mutahaba tutawakumbuka kwa mengi sana mlifanya mengi mema hapa Duniani Mungu awaangazie nuru katika maisha yenu. Mlionesha ushujaa wa kutosha hata Ndugu Ephraim ukaamua kusimama mstari wa mbele katika kufanikisha mazishi, inaezekana ulijikaza no matter what the condition was........Rest in peace Legends.I will forever love your Spirits!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…