Miiku
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 3,835
- 2,642
R.I.P Kibonde Poleni tena familia ya Clouds FM poleni Familia ya Kibonde.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kabisa mkuu, enzi zile za mechi za mashule pale kwenye kauwanja kadogo ka mpira wa miguu, halafu mechi ikiisha tunahamia ndani kwenye ule uwanja wa basketball. Maisha ni mafupi sana, haya nayoyaongea ni mambo ya miaka ya 1988 - 1991.Nakumbuka enzi hzo don Bosco pale alikuwa anatingisha....Enzi hzo upanga imechangamka
Pole kwa kibonde family&sarah&stella&lydia
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna ajuaye siku wala saa. Maisha haya ni mafupi.VIJANA, NGUVUKAZI INAPUNGUA DUNIANI.View attachment 1040010
Mbona huyo mwigizaji kavaa viatu. [emoji23] [emoji23] [emoji23] Bongo kuna unafiki sana.VIJANA, NGUVUKAZI INAPUNGUA DUNIANI.View attachment 1040010
🤣🤣🤣🤣🤣
Kweli kabisa watu wanakufa kila siku ila ndo hivyo tena.Watu wanakufa kila siku sema wakitokea watu maarufu watu huwa hatuamini na kuona dah jamaa amekufa mapema imekuaje jamaa ametutoka, na huwa tunaanza kujitasmini kuwa tumrudie Mungu jamani maisha ni mafupi, ukweli ni kwamba watu wanasahau baada ya maziko, ukweli ni kwamba matendo yetu yabadilike tuishi kwa kumpendeza Mungu tupendane, tuthaminiane hakika hatujui saa wala wakati,
RIP EPHRAHIM KIBONDE
hakika ni salaam aliyoipenda kuitamka marehem pindi aingiapo kipindini. hivi Kibonde ni Islamic?RIP Ephraim Kibonde
Nakupa Asalaam aAleykhum huko uliko.
Mkristohakika ni salaam aliyoipenda kuitamka marehem pindi aingiapo kipindini. hivi Kibonde ni Islamic?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani dohDuh kifo cha nne kuksikia mm. vtatu watu maarufu kmoja cha wakawaida..
[emoji26][emoji26]
Baada ya hk cjui knafwata kp?
Mungu tusamehe
R. I. P
So true sijui kwaniniIla sijui kwanini watu wengi mke na mme waliopendana mmoja akifa huyu mwingine achukui mda mrefu nae anakufa
Pumzika kwa Amani Kibonde
Sent using Jamii Forums mobile app