Dah. Fumbo la kifo.Mkuu wa Mkoa wa Mwanza amethibitisha kwamba Mtangazaji wa CloudsFM Ephraim Kibonde amefariki akiwa Mwanza, alianza kusumbuliwa na Presha toka Bukoba kwenye msiba wa Ruge Mutahaba na kuhamishiwa Mwanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Km presha sishangaiMkuu wa Mkoa wa Mwanza amethibitisha kwamba Mtangazaji wa CloudsFM Ephraim Kibonde amefariki akiwa Mwanza, alianza kusumbuliwa na Presha toka Bukoba kwenye msiba wa Ruge Mutahaba na kuhamishiwa Mwanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
OkMagonjwa yote ni hivyo so what's your point!
sikuwa nafahamu chochotena aisee...na mke wake alifariki last yr ,aliacha watoto wadogo😢😢😢No disrespect Ruge na Kibonde hadi nyuzi zilikuwapo humu watu wakidai ni wagonjwa.
Hata sugu kwenye antivirus kasrma kuhusu kibonde.
R.i.p
Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana libarikiwe.