JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,914
- 10,793
Dah. Fumbo la kifo.Mkuu wa Mkoa wa Mwanza amethibitisha kwamba Mtangazaji wa CloudsFM Ephraim Kibonde amefariki akiwa Mwanza, alianza kusumbuliwa na Presha toka Bukoba kwenye msiba wa Ruge Mutahaba na kuhamishiwa Mwanza.
Sent using Jamii Forums mobile app