TANZIA Mtangazaji wa Clouds FM, Ephraim Kibonde afariki dunia. Azikwa makaburi ya Kinondoni,Dar es Salaam

TANZIA Mtangazaji wa Clouds FM, Ephraim Kibonde afariki dunia. Azikwa makaburi ya Kinondoni,Dar es Salaam

Wakuu kuna habari kwamba mtangazaji wa clouds ephrahim kibonde hatunaye
 
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza amethibitisha kwamba Mtangazaji wa CloudsFM Ephraim Kibonde amefariki akiwa Mwanza, alianza kusumbuliwa na Presha toka Bukoba kwenye msiba wa Ruge Mutahaba na kuhamishiwa Mwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Km presha sishangai
Mama angu alizimika ghafla tu,
Sina hamu na ugonjwa huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Loh! Maisha yetu haya........Mungu amrehemu.
 
Nimeshtuka na kusikitika sana.. Pumzika kwa Amani Kibonde.
 
Kumbe
IMG-20190307-WA0006.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
dah!!!! kweli vifo tunatembea navyo pumzika kwa aman kibonde
 
Back
Top Bottom