Mbona Clouds wanaendelea na matangazo kama kawaida ...au hii kiredio changu cha Kichina,hii sio CLOUDS! Afu kati ya Watangazaji waliokuwa imara wakati wa Msiba ni huyu jamaa!
Poleni Clouds media group,
Pumzika kwa AMANI mzee wa Jahazi.
Duniani tunapita, kwake tutarejea.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120].
Wa ajabu ww, kifo ni kitu kingine, usishangae ww mwenyewe hii ndio ikawa asubui yk ya mwisho ktk uhai Wa dunia Kaka angu,ndio maana tunaimizwa na kumuimiza jiwe kuwa dunia ni yakupita awatendee wema wenzie,
Jehnam ni gereza kwa wenye kufanya ubaya duniani, tusijisahau kwakweli
MWA. :3:19
kwa jasho la uso wako utakula chakula, hata utakapoirudia ardhi, ambayo katika hiyo ulitwaliwa; kwa maana u mavumbi wewe, nawe mavumbini utarudi.
Bwana awafariji familia na wafanyakazi wote wa Clouds