TANZIA Mtangazaji wa Clouds FM, Ephraim Kibonde afariki dunia. Azikwa makaburi ya Kinondoni,Dar es Salaam

TANZIA Mtangazaji wa Clouds FM, Ephraim Kibonde afariki dunia. Azikwa makaburi ya Kinondoni,Dar es Salaam

VERY SAD..

Poleni Clouds media group,
Pumzika kwa AMANI mzee wa Jahazi.
Duniani tunapita, kwake tutarejea.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120].
 
Acha ulongo ww, juz tu kwenye msiba wa Ruge ndo alikuwa mc!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wa ajabu ww, kifo ni kitu kingine, usishangae ww mwenyewe hii ndio ikawa asubui yk ya mwisho ktk uhai Wa dunia Kaka angu,ndio maana tunaimizwa na kumuimiza jiwe kuwa dunia ni yakupita awatendee wema wenzie,
Jehnam ni gereza kwa wenye kufanya ubaya duniani, tusijisahau kwakweli
 
MWA. :3:19
kwa jasho la uso wako utakula chakula, hata utakapoirudia ardhi, ambayo katika hiyo ulitwaliwa; kwa maana u mavumbi wewe, nawe mavumbini utarudi.

Bwana awafariji familia na wafanyakazi wote wa Clouds
 
Back
Top Bottom