theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
Aisee. Kwenye msiba wa Ruge nilimuona akiwa na afya njema kabisa.
Hakika hakuna ajuaye siku ya Kufa.
Apumzike kwa amani.
Hakika hakuna ajuaye siku ya Kufa.
Apumzike kwa amani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sure.... Mwingine aliimba "if tomorrow never comes...."
Dah! Kibonde...R.I.P Mzee wa JahaziView attachment 1039947
Habari za hivi punde ni kuwa mtangazaji maarufu wa Clouds FM, Ndugu Ephraim Kibonde amefariki dunia alfajiri ya leo tarehe 7 Machi 2019.
Kibonde alianza kusumbuliwa na presha akiwa katika msiba wa marehebu Ruge Mutahaba huko Bukoba mkoani Kagera na kuhamishiwa hospitali ya Bugando jijini Mwanza ambapo mauti yamemkuta.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza pamoja na Mkuu wa Vipindi wa Clouds FM, Sebastian Maganga wamethibitisha kutokea kwa kifo hicho.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa