PENTAKINYE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2019
- 817
- 827
jamani kuweni serious basi utani gani huo KIBONDE AMEFARIKI KWELI??? siamini mbona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mkewe amefariki?
Habari za hivi punde ni kuwa mtangazaji maarufu wa Clouds FM, Ndugu Ephraim Kibonde amefariki dunia alfajiri ya leo tarehe 7 Machi 2019.
Kibonde alianza kusumbuliwa na presha akiwa katika msiba wa marehebu Ruge Mutahaba huko Bukoba mkoani Kagera na kuhamishiwa hospitali ya Bugando jijini Mwanza ambapo mauti yamemkuta.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza pamoja na Mkuu wa Vipindi wa Clouds FM, Sebastian Maganga wamethibitisha kutokea kwa kifo hicho.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa
View attachment 1039958
Ephraim Kibonde akiwa na mkewe enzi za uhai wao
Wewe unasema juzi tu,kifo si kinaweza kumkuta hata sekunde ijayo baada ya post
Mtani mimi nimeogopa. Msiba wa Ruge haukuniuma kiviile,ila kwa haya yote nimeshikwa na hurumaAiseeee! Ama kweli vifo tunatembea navyo.
Apumzike kwa Amani