Madhara ya uminywaji wa haki,yanaweza kumuathiri Kila mmoja wetu.View attachment 3496747
Mtangazaji huyo wa Michezo alikuwa kibarazani kwake alipokumbwa na shambulizi hili.
Marehemu hakuwa akiandamana lakini kama ilivyoripotiwa awali, alipigwa risasi.
Leo mwili wake umepumzishwa katika “nyumba yake ya milele”.
Pumzika salama ndugu yetu
Please watoto wake watoe kwenye hili, Please. Usiwatakie mabaya. Tutatue changamoto yoyote ya Sasa tulimalize tusirithishe kwa vizazi vijavyo.Mtoto wake akija kuwa "Hamza wa baadae" watu wanaanza kumlaumu.
Mtaani kwetu kijana alienda kununua mboga akiambatana na mdogo wake asubuhi ya tarehe 30 Oct 2025 .Aloo jamani Kuna watu walikuwa wanapiga risasi kila mtu mtaan
Wengi sana wamepoteza maisha siku ya tarehe 30
Mtu kupambania haki yake ndo kufanya mabaya?Please watoto wake watoe kwenye hili, Please. Usiwatakie mabaya.
Mzazi ameuwawa bila hatia, nani alipize kisasi? Ni kizazi chake, watoto.Please watoto wake watoe kwenye hili, Please. Usiwatakie mabaya. Tutatue changamoto yoyote ya Sasa tulimalize tusirithishe kwa vizazi vijavyo.
Hamza(R.I.P) aliuawa kwa Risasi, unataka na watoto wa Marehemu Tindwa wauwawe kwa Risasi pia?Hamza