Wapo kimya sababu ya upumbavu waoNa Clouds hata hawatasema chochote kuhusu mauaji yaliyotokea.
Nakubaliana na weweHao si wanaongoza kwa nyimbo za kusifu na kuabudu acha wakome tena ilitakiwa wawe na misiba hata mia
Nchi yetu imeharibiwa kwa tamaa ya madarakaMtaani kwetu kijana alienda kununua mboga akiambatana na mdogo wake asubuhi ya tarehe 30 Oct 2025 .
Ghafla akapigwa risasi ya kichwani ubongo ukamwagika.
Mdogo wake akakimbia akafika salama nyumbani na kutoa taarifa.
Huyu dogo maisha yake yote picha ya namna alivyouwawa Kaka yake itabaki kichwani. Atakuwa na hasira na kuwaza kiasasi maisha yake yote.
Upo mwaka tutashuhudia vurugu kubwa kuliko za sasa zitakuwa za kulipa kisasi.
We acha tuAisee
Sio Hamza Johari ila Hamza yule shujaa jeshi la mtu mmoja bila kikosi nyumaMtoto wake akija kuwa "Hamza wa baadae" watu wanaanza kumlaumu.
Uko sahihi mkuu haujakoseaSio Hamza Johari ila Hamza yule shujaa jeshi la mtu mmoja bila kikosi nyuma