TANZIA Mtangazaji wa Clouds, Master Tindwa aliyepigwa risasi azikwa leo (Novemba 3, 2025)

Duh jamaa alikua anapiga spana UTO huyu
ROMEO INDIA PAPAA MASTER
NYUMA YAKO KAMANDA
 
Mafisadi wanatengeneza wakina HAMZA wengi sana swax huku kuna m mama alikua ametoka nje kumwaga maji machafu akapigwa risasi akafa hapohapo watu wengi wameuliua majumbani kwao
 
Inasemekana Master Tindwa alifariki tarehe 30/10/2025 na amezikwa leo 03/11/2025 huko kwenye makaburi ya Mama Kibonge, Buza nje kidogo ya jiji la Dar Es Salaam.

Baada ya mtandao kurudishwa, watangazaji wenzake wakaanza kupost RIP.

Muda mchache uliopita akaunti rasmi za Clouds Fm wakapost msiba huo bila kutaja kilichomuua.

Nini kimesababisha kifo cha Master Tindwa?
 
Inadaiwa alipigwa risasi ya kichwa nyumbani kwake na “raia” wa nchi nyingine walioingia nchini kwa njia zisizo rasmi.
Ooooh Lord🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Pumzika Kwa Amani Master Tindwa mwana wa Mutopa. We will be missing you Forever!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…