TANZIA Mtangazaji wa Clouds, Master Tindwa aliyepigwa risasi azikwa leo (Novemba 3, 2025)

Kutoka chanzo cha kuaminika;
Kundi la waandamanaji wakikimbizwa na polisi waliingia kibarazani ambako yy alikuwa amekaa, basi polisi walimimina risasi na yy alikuwa mmoja wa wahanga!
 
Okay
 

Attachments

  • IMG-20251103-WA0062.jpg
    59.3 KB · Views: 28
Clouds TV, nashangaa mmeshindwa kumshukuru Mama yenu kwa mauaji haya(Mauaji ya Mama). You always sing her praises. RIP Tindwa😢
 
Please watoto wake watoe kwenye hili, Please. Usiwatakie mabaya. Tutatue changamoto yoyote ya Sasa tulimalize tusirithishe kwa vizazi vijavyo.
Malipo ya damu.
Damu hulipwa kwa damu.
Haijakishi utalipa uliye fanya mwenyewe, watoto, au wajuu wako.
 
Rip
Kwani huyu naye ni mkenya maana ndo nasikia wameuwawa
 
Please watoto wake watoe kwenye hili, Please. Usiwatakie mabaya. Tutatue changamoto yoyote ya Sasa tulimalize tusirithishe kwa vizazi vijavyo.
Tutaanza na maandamano ya kitaifa ya amani kulaani umwagaji huu mkubwa wa damu. Viongozi wa dini wataongoza maandamano haya.

Kisha tutafungua kesi mahakama ya kimataifa. Rais huyu aliyepika matokeo ya kura hana uhalali wa kuua watu wengi hivi iiki akae madarakani. Wakuu wa polisi, wakuu wa mikoa, wilaya, waandishi wa habari, wasanii waliochangia kutoa uhalali wa watu kuuwawq watakuwa washitakiwa. Vuta subira.
 
Muwatazame kwa jicho la tahadhari sana watu wanaoitwa polisi, ndani ya hii nchi!
 
Inasikitisha sana.

Nasikia Sharifu Majini naye kala chuma.

#Kataaa _WAHUNI.
#TUMEELEWANA
#TULIKUWEPO
#KIMENUKA
 
Muwatazame kwa jicho la tahadhari sana watu wanaoitwa polisi, ndani ya hii nchi!
Polisi ni majambazi waliohalalishwa na serikali....ANgalia magari yao wale wasiovaa sare ,nyuma ya gari wameweka jembe na koleo..unajua kazi yake? Wanaua kisha wanafukia.

Ukikitana nao wakawa wanataka kukupora mzigo waachie ,ukibisha unakula chuma then wanakupeleka porini kukuzika ndiyo maana wanatembea na jembe/koleo.(Hadi kipindi cha jua kali wameyabeba)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…