Mtangazaji wa ITV Mabere Makubi usiangaike na ajira ITV, wiki ijayo utapata ajira nje nakamilisha mazungumzo

Wengine wanadhani kinachoondoa furaha ni risasi pekee..!!
 
Hii ndio naisikia leo ,,,kuwa mfuasi wa Mungu na Mfuasi wa Mila....hii baghosha kabisa.
Wazungu na Waarabu, walipokuja Africa na kutuletea dini zao, walitukuta na dini zetu za asili, mila na desturi, wakaziponda kuwa ni za kishenzi na kutuletea Ukristo na Uislamu.

Walitukuta na mila za wake wengi, Uislamu unafundisha mwisho wanne, Ukristo mwisho mke mmoja. Kumbe huu ni uongo!.

Kwenye zile dini zetu za asili, mila na desturi, sio kila kitu ni cha kishenzi, kuna mazuri mengi tuliyaacha, miongoni mwa mazuri hayo ni baadhi ya tiba asili, jando na unyago na mila za wake wengi.

Baada ya ndoa ya Kikristu kanisani, niliposema Bible kwa makini, nikagundua kumbe ndoa ya mke mmoja sio mpango wa Mungu!, hakuna popote ndani ya Bible Mungu kazuia ndoa za wake wengi, ni scheme tuu za wazungu, wenzetu hawana nguvu za mitala hivyo kulazimisha mke mmoja.

Hivyo akina sisi timeamua kumfuta Mungu wa kwenye Bible na sio ule uongo wa wazungu!.
P
 
Naona umeamua kupiga Two in One...
 
I simetimes LAUGH at myself after having LISTENED from...
 
Yes, namfuta Mungu huku nikiendeleza mila nzuri. Issue ya ndoa ya mke mmoja ndio iliyolipasua Kanisa Katoliki na Kuanza kwa Lutheran, then Anglican.
P
Kuna kiapo pale ...hatutaachana mpk kifo kitakapotutenganisha...wewe uliapaje....na hii dhana ya mwili mmoja nayo utakuwa hauitaki Tena??
 
Nadhani, mnalumbana bure. Lakini ukweli ni kwamba, wengi wao hasa correspondences, elimu zao ni ndogo. Wamemaliza kidato cha nne na pengine kwenda chuoni kusoma certificate ama education au journalism. Wengi wamepata on job short seminars kujua tu basics ya uandishi wa Mambo ya kijamii. Hawawezi kuinterview mtu kwa weredi kwakuwa elimu yao ya darasani ni ndogo. Huo ndio ukweli. Tulikuwa na semina na journalists ambapo mfadhili alikuwa EU, yule mwakilishi wa EU alipotoa hotuba hawakuchukua chochote, wanasumbua kutaka version ya kiswahili. Ebu waiheshimishe taaluma,waende shule. Sio unafeli shule,unaona sehemu ya kwenda kupata chochote ni kujiita maandishi wa habari na kuanza kutembea na camera na notebook. Shule kwanza!
 
Nimependa majibu yako,

Una busara sana mkuu.

Tatizo la jf ujuaji mwingi
 
It's very painful!, most media correspondences ni deiwaka!.
Hili nililijua baada ya kifo cha Daudi Mwangosi wa Channel Ten.

P
Wafanyakazi wa hii sekta wanapitia magumu mengi, rejea sakata la Star TV kati ya Diallo na maslahi ya wafanyakazi wake.
 
Kuna kiapo pale ...hatutaachana mpk kifo kitakapotutenganisha...wewe uliapaje....na hii dhana ya mwili mmoja nayo utakuwa hauitaki Tena??
Tuachane na hizi mambo, turudi kwenye mada iliyo mezani.
P
 

Wewe ndio unatia aibu, ume boil kwa kutokujua lugha za kabila ni lugha pia. Hata kama sio kimataifa or kitaifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…