Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Afu kuna watu wamekupa LIKE kwa ulichokiandika..!!Wewe mwenyewe kanjanja tu utamsaidiaje mwenzio kuajiliwa nje?
Unadhani una uwezo huo? Hebu acha vituko!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afu kuna watu wamekupa LIKE kwa ulichokiandika..!!Wewe mwenyewe kanjanja tu utamsaidiaje mwenzio kuajiliwa nje?
Unadhani una uwezo huo? Hebu acha vituko!
Wengine wanadhani kinachoondoa furaha ni risasi pekee..!!Mkiambiwa Tanzania ni moja ya nchi ambazo wananchi wake hawana furaha mnabisha eti ooh mbona tunakula ugali matembele kwa raha mustarehe bila kusikia milio ya risasi mara sijui blahblah gani .sababu zenyewe ndio kama hizi za kunyimana amani kwenye nchi yako mwenyewe
Wazungu na Waarabu, walipokuja Africa na kutuletea dini zao, walitukuta na dini zetu za asili, mila na desturi, wakaziponda kuwa ni za kishenzi na kutuletea Ukristo na Uislamu.Hii ndio naisikia leo ,,,kuwa mfuasi wa Mungu na Mfuasi wa Mila....hii baghosha kabisa.
Msiba ulikuwaje mkuu??Nikikumbuka Msiba wa Nyaisanga, ndiyo uwa naona hiyo kazi ni Bure Kabisa.
Naona umeamua kupiga Two in One...Baada ya ndoa ya Kikristu kanisani, niliposema Bible kwa makini, nikagundua kumbe ndoa ya mke mmoja sio mpango wa Mungu!, hakuna popote ndani ya Bible Mungu kazuia ndoa za wake wengi, ni scheme tuu za wazungu, wenzetu hawana nguvu za mitala hivyo kulazimisha mke mmoja.
Hivyo akina sisi timeamua kumfuta Mungu wa kwenye Bible na sio ule uongo wa wazungu!.
Yes, namfuta Mungu huku nikiendeleza mila nzuri. Issue ya ndoa ya mke mmoja ndio iliyolipasua Kanisa Katoliki na Kuanza kwa Lutheran, then Anglican.Naona umeamua kupiga Two in One...
Naomba hii link niende huko maana nimetajwaKalimanzila nawe hujioni?View attachment 2210781
Kuna kiapo pale ...hatutaachana mpk kifo kitakapotutenganisha...wewe uliapaje....na hii dhana ya mwili mmoja nayo utakuwa hauitaki Tena??Yes, namfuta Mungu huku nikiendeleza mila nzuri. Issue ya ndoa ya mke mmoja ndio iliyolipasua Kanisa Katoliki na Kuanza kwa Lutheran, then Anglican.
P
Nadhani, mnalumbana bure. Lakini ukweli ni kwamba, wengi wao hasa correspondences, elimu zao ni ndogo. Wamemaliza kidato cha nne na pengine kwenda chuoni kusoma certificate ama education au journalism. Wengi wamepata on job short seminars kujua tu basics ya uandishi wa Mambo ya kijamii. Hawawezi kuinterview mtu kwa weredi kwakuwa elimu yao ya darasani ni ndogo. Huo ndio ukweli. Tulikuwa na semina na journalists ambapo mfadhili alikuwa EU, yule mwakilishi wa EU alipotoa hotuba hawakuchukua chochote, wanasumbua kutaka version ya kiswahili. Ebu waiheshimishe taaluma,waende shule. Sio unafeli shule,unaona sehemu ya kwenda kupata chochote ni kujiita maandishi wa habari na kuanza kutembea na camera na notebook. Shule kwanza!Nashukuru msomi unayedhani Kufanya kazi ya mama ntilie ni kukosa elimu. Ubarikiwe Sana, unaitendea kazi elimu Yako.
Mimi elimu yangu inanifunza matamshi utokana na makuzi, lakini pia kifaa kinachotumika kuandika kinaweza kuwa na lugha yake.
Hapa hakuna anayeleta mada Kwa lengo la editing, tunaleta ujumbe tukimaliza tunapokea maoni Kwa lengo la kuboresha.
All in all umefanya kazi nzuri; Hongera Sana msomi
Nimependa majibu yako,Nashukuru msomi unayedhani Kufanya kazi ya mama ntilie ni kukosa elimu. Ubarikiwe Sana, unaitendea kazi elimu Yako.
Mimi elimu yangu inanifunza matamshi utokana na makuzi, lakini pia kifaa kinachotumika kuandika kinaweza kuwa na lugha yake.
Hapa hakuna anayeleta mada Kwa lengo la editing, tunaleta ujumbe tukimaliza tunapokea maoni Kwa lengo la kuboresha.
All in all umefanya kazi nzuri; Hongera Sana msomi
Wafanyakazi wa hii sekta wanapitia magumu mengi, rejea sakata la Star TV kati ya Diallo na maslahi ya wafanyakazi wake.It's very painful!, most media correspondences ni deiwaka!.
Hili nililijua baada ya kifo cha Daudi Mwangosi wa Channel Ten.
P
Tuachane na hizi mambo, turudi kwenye mada iliyo mezani.Kuna kiapo pale ...hatutaachana mpk kifo kitakapotutenganisha...wewe uliapaje....na hii dhana ya mwili mmoja nayo utakuwa hauitaki Tena??
Mungu atubariki na kutunusuruWafanyakazi wa hii sekta wanapitia magumu mengi, rejea sakata la Star TV kati ya Diallo na maslahi ya wafanyakazi wake.
Amen.Mungu mbariki Mabere Makubi
Hivi hawa waandishi wa Tanzania wanasoma vyuo gani?!
Sasa huyu Beatrice Kamugisha naye ni mwandishi wa habari?!
Ana tofauti gani na Mama Ntilie wa pale Manzese!?
Mwandishi wa habari eti anaandika " anamzalilisha"!
Hivi kama kiswahili tu ni shida kwa waandishi wa Tanzania, vipi kiingereza ?!
Sijui hata kama Waandishi wa Tanzania wanafuatilia kuona wenzao kama wa hapo Kenya walivyo smart!
Waandishi wamekalia umbea umbea tu ,upstairs zeeero!
Ukiamua kuwa mwandishi wekeza kwenye taaluma yako! Onyesha tofauti kati yako na mtu ambaye si wa taaluma yako!
Mwandishi ambaye hata maana ya maneno hajui una tofauti gani na kibaka wewe!!
Utawasikia wakitamka maneno kama "arizi' "zarau",zahabu, zambi, zalilisha, mirasi, habali,!
Vyuo gani na walimu gani waliwafundisha haya maujinga??!
Mnatia hasira sana Makanjanja nyie!